n.c.r (not a christian rebel) - john 3:16 lyrics
intro: redfourth chorus
[utafanya nini?]-3
oooh oh oh… oooh
verse 1: k-lax
thermometer inasema temperature kwa mwili imepanda, na ni ukweli because i have this burning question
maswali mob tulitumia mwakenya tukajibu, lakini hii bado hata na mwakenya imekuwa ngumu
the biggest question in life inakam… and i believe kila mmoja wetu atajibu…
judgement day tukiulizwa
what did you do with the sacrifice of my son??
lakini kabla ya tujibu hio swali, wacha tupitie text book ya the generation we are living in
tuone ni wapi mambo yameenda mrama
tuone ni aje panya anazaa ndama
tuone ni vipi those of the same gender wanaoana na inakuwa ni… baba na mama
you see… we living in a generation yenye ma-goalkeeper wameongezeka na sanasana ni dada zetu
under 10 alipigiwa through p-ss kidogo kidogo akashika ball
juzi nkaskia shirika flani linatarget age 9-14 wawafunze kutumia mipira
hizi ni redcards tutapewa judgement day tusipochange this game this early
barcelona wakicheza na realmadrid, utasimama 90 minutes bila hata kutingika
but tell that person asimame 5 minutes kuskiza preaching anajishkilia kwa ukuta
further more utapata kuna yule hakuna ngoma hawezi imba
mwitishe the shortest verse in the bible-“jesus wept”… hawezi jua!
novels za ajabu na series hazina mwisho
humalizwa just na one night
na bibilia just one chapter humalizwa na forever
na ukisoma ama ukiona hizi vitu huwezi blink, bibilia ukisoma una-end up kulala…
yaani zile vitu important tunapuuza, zile less important ndio tunatunza…
chorus: dalian & redfourth chorus
(what did you do, with the sacrifice of my son
when he gave his life on the cross
uli… ulifanya nini eh… nini eh)-2
[ulifanya nini? eh eh]-2
ulifanya nini?
uli… ulifanya nini eh… nini eeh?
verse 2: k-lax
si tukona bundles, ingia opera mini
kazi ni kugoogle picha za the latest minis
your dress your choice… sawa!
you say its your life… sawa!
siku hizi the percentage of the body exposed by most ladies is 95%
na ndio ujue the devil is a liar, #teammafisi are more concerned with the 5% covered…
yaani ile kiboko itatutandika tusipobadilika iko kisii inakula matoke…
joshua 1:8 inasema- “this book of the law shall not depart from you but you shall meditate on it day and night… being careful to do according to what is written in it… thus you shall be prosperous and successful.”
james 4:7 inasema- “submit yourselves then to god, resist the devil and he shall flee.”
genesis 3;19 inatuk-mbusha-“we are dust and unto dust we shall return.”
mathew 16:26-“for what shall it profit a man, to gain the whole world and loose his life.”
you only live once… na maisha haina rehearsal
you also die once… na kifo haina warning
haja gani niishi 80 years, then spend the rest of my years in h-ll burning??
its better i engage those 80 years in spiritual farming and spend the rest of my life in heaven celebrating
bridge: dalian
(aliishi, maisha tusiyoishi
na akafa, kifo kilichotufaa
huyu yesu… eh… ai oh oh ooh)-2
chorus: dalian & redfourth chorus
(what did you do, with the sacrifice of my son
when he gave his life on the cross
ulifanya nini eh… nini eh)-2
[ulifanya nini? eh eh]-2
ulifanya nini?
uli… ulifanya nini eh… nini eeh?
the end
n.c.r musiq©2019
Random Lyrics
- john luca$ - hope lyrics
- clade - fade away lyrics
- michael mcdonald - just strong enough lyrics
- rockit gaming - freddy says lyrics
- cheekface - big blank distraction lyrics
- tekno - better (hope for africa) lyrics
- mortel - keine rolle mehr lyrics
- sawyer harris - i don't even really wanna know lyrics
- ras kass - grammy speech lyrics
- gods of rage - sons of the first rebellion lyrics