n.c.r (not a christian rebel) - liar lyrics
intro
(he’s a liar, liar… ayayayaya)-2
verse 1
ibilisi we, shindwa na ulegee
nishampata w-nge
ibilisi wewe, shindwa na ulegee
inakwatie ula wakwa
nishampata yule, aliye, wa mtimani aisee
nishampata yule, aliye, wa mtimani eh
hivi sikudai, kwako nishai
imani yangu napa adonai
sikudai, kwako nishai
imani yangu eeh
ewe ibilisi, hivi kwako ni gharama
mlitya lya nyasaye, saitan agwizwi
pre-chorus
with you liar life is a mess to h-ll
so me a tell ya pon di fire
with messiah life is brighter, finer, and nicer
king, to me so…
chorus
devil go go go go….
verse 2
huwezi kunitisha sitishiki sitatishika
na huwezi kunishika mimi sitasikitika
amenishikilia, so sitatingizika
mwikhulu kwa nyasaye eeri khw-ngee
ewe shetani, ondoka takataka
nimeokoka, nilikupa talaka
niliamua, ni yesu ninataka
ndio maana, kajawa na baraka
basi nenda kabisa, aaaah
mungu twakukaribisha, eeeh
na shetani nenda kabisa, nenda kabisa
me haffi say dat oce again
na shetani nenda kabisa, aaah
mungu twakukaribisha, eeeh
tunasema nenda never to see you again
na ni dalian day k_lax once again
pre-chorus
with you liar life is a mess to h-ll
so me a tell ya pon di fire
with messiah life is brighter, finer, and nicer
king, to me so…
chorus
devil go go go go….
bridge
everyday and night, you come my way
everyway and time, you tempt my soul
hivi sikudai, kwako nishai
imani yangu napa adonai
sikudai, kwako nishai
imani yangu eeh
pre-chorus
with you liar life is a mess to h-ll
so me a tell ya pon di fire
with messiah life is brighter, finer, and nicer
king, to me so…
chorus
devil go go go go….
Random Lyrics
- ric wilson - sinner lyrics
- sunmags - free range lyrics
- батерс (butters) - мясная лавка (butcher shop) lyrics
- swishi - yeyeyeye lyrics
- jaron - swing low lyrics
- as we walk - thicker than water lyrics
- kjell höglund - hemlig kärlek lyrics
- yung lixo - polaroid lyrics
- johnny punish - viva las vegas lyrics
- nephewblaq - bookkeeper lyrics