
nadia mukami - ikamate hiyo lyrics
[verse 1]
tamu kama embe dodo,nitakupa mpaka uzirai
hili penzi si la kitoto, utabaki umelikubali
taratibu bwana mkunaji
leo nashaky kinicky minaj
[bridge]
njoo niongezeee eh eh
ikamate usilegeze eeh eh
nauliza niongezee eh eh
ikamate usilegeze eeh eh
[chorus]
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama umeipenda ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama unaitaka ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
(ikamate sana, ikamate hiyo)
[verse 2]
zama ndani gizani baba, mwiba kujitia huna pole
wewe ni mustaarabu kaka, ikamate mpaka ipoe
vile unacheki una marinate
i am your type and you can relate
come lemme give you likkle taste
later me and you partic-p-te
[bridge]
njoo niongezeee eh eh
ikamate usilegeze eeh eh
nauliza niongezee eh eh
ikamate usilegeze eeh eh
[chorus]
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama umeipenda ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama unaitaka ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
(ikamate sana, ikamate hiyo)
vile unacheki una marinate
i am your type and you can relate
come lemme give you likkle taste
later me and you partic-p-te
njoo niongezeee eh eh
ukitaka uikamate (yo yo yo yo yoo)
ikamate hiyo, ikamate
[chorus]
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama umeipenda ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama unaitaka ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
(ikamate sana, ikamate hiyo)
[outro]
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama umeipenda ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
kama unaitaka ikamate hiyo
(ikamate sana, ikamate hiyo)
(ikamate sana, ikamate hiyo)
Random Lyrics
- g-unit - i'm so hood lyrics
- sanguis kiranha - muslime lyrics
- ayomidemubarack - ileri lyrics
- marto caisa - хитова песен за яйцата lyrics
- jim corcoran - laisse faire lyrics
- padla bear outfit - krol lyrics
- skock - $anta clau$ lyrics
- fat tony - i shine lyrics
- celo & abdi - heckmeck lyrics
- lecks lupin - wave (bye) lyrics