nadia mukami - kai wangu lyrics
mtoto anafanana na nani
je ana macho kama nadia mukami
atapenda gym kama baba yake ali
ndio maswali najiuliza tu kichwani
niliposikia nakupata
nililia machozi ya furaha
ingawa sikuwa ready kukupata
sina budi sasa kuitwa mama
ila usijali
mama yako mchapa kazi sana
baba yako ana roho safi sana
wazazi wako wote maarufu sana
ee w+ngu ee utatesa sana
namwita jina kai kai kai kai w+ngu wee
namwita jina kai kai kai kai w+ngu wee
(kai, kai kai,) (kai kai kai yoyo) (oyo yoooo)
i can’t wait to hold you baby
juu tumekungoja sana
toto nakuombea daily
mungu akuepushe na mabaya
ata ddunia ikugeukie baby
sitakuacha solo
nitakulinda we we we
baby sitakuacha solo
mama yako ni mchapa kazi sana
na baba yako nina roho safi sana
wazazi wako wote maarufu sana
kai wewe utatesa sana
namwita jina kai kai kai kai w+ngu weee
namwita jina kai kai kia kai w+ngu we
(kai, kai kai,) (kai kai kai yoyo) (oyo yoooo)
(nakupenda sana)(nitakupenda sana)
kai kai yoyo kai kai kai yoyo
Random Lyrics
- young 5150 - i been tryna find ( your love) lyrics
- akan - la cage lyrics
- slackeye slim - cowboy's lament lyrics
- ankimo - 우바새 (upasaka) lyrics
- keerichy - barbie lyrics
- mariklilov - холодно lyrics
- hitemupty - family straight, family ate lyrics
- latto - prolly heard* lyrics
- jack hardy - gretna green lyrics
- m.not - ye shabe lyrics