nadia mukami - saluti kwa mama lyrics
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
ulijinyima ndio nipate
zile mateso nisikose
ulinipa vyako vyote
leo niko hapa juu yako
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mwanamke shujaa
mke shupavu
ni wewe mama
mwanamke bomba
mke unangaa
ni wewe mama
na kwa yote (yote tutapitia aaa)
i will always be by your side
na kwenye mvua (kwenye mvua mama)
i’ll be your umbrella
i wanna, i wanna spend all my money
i wanna, i wanna treat you mummy
i wanna, i wanna love you forever mummy
nitafanya nitafanya chochote
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mama)
mama, mama (mama)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
nakupenda mama
pongezi mama
saluti kwa mama
nakupenda mama (yeah yeah)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama(mama)
mama, mama (ohhhhh)
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (mama)
mama, mama (aahhh)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
Random Lyrics
- יובל בנאי - od shir echad - עוד שיר אחד - yuval banay lyrics
- ria (re:a) - honest emotion lyrics
- moped (no) - d´nokk lyrics
- b.a.johnston - we drank your cans lyrics
- alexzander - embrace me lyrics
- macvoice - bora peke yangu lyrics
- good hangs - allergy pills lyrics
- daddy andre - i miss you lyrics
- enny - take it slow lyrics
- montannaatm - stand over 2 lyrics