naffarioh - babacita (catalyst) lyrics
namshow a+kam izi sides,juu uku pekee ndo anaeza kuwa safe (safe)
na juu siko willing ku+hide,balaclava on nafunika face (no face no case)
tuko ready ku+put up a fight,as long mwishowe kuna ganji ntamake
all i’m doing is paying the price,turn a new leaf,tuna+flip io page (ayy)
doing this with all my might,best in the game there ain’t no debate
vile ako siaka,morio ako flight,juu si ndo ma+pro tuna+run ii game
vuta ma+foreign,toka dubai,p+ssy ass n+ggas hupiga ma+vape (p+ssy!)
been overworking mahn,why lie?but i hope io bidii siku moja ita+pay
ukikosa ku+check your mate,ndo uyo mimi nam+play kaa chess (check maaaate)
nikisonga,n+z+disha pace,don’t try me usini+put to a test
pale twitter mi ni andrew tate,k+mbe nina mpoa kando yangu kwa bed
mi hupenda kitu wao u+hate,never compare me with anyone else
kama kipchoge na+run hii game,trying my best to be one of the best
apart from ganji nadai tu fame,na kitu sidai ni msee anani+mess (mmh mmh)
kwa hii life hatu+deal na ma+snakes,buda f+ck off joh,kaa we ni pest
n.a.f.f ,that’s my name,a.r.i.o.h,ndo tunai+spell
alicheza na nare akachomwa,usiulize mbona hananga esteem
no face hauezi niona,mi hukuwa na mask,adi kwa id (the f+ck!)
uyo boy alishikwa na trauma,after kucheza na wale wazii
tungekuwa na yeye for a bit longer, saii joh bruv angekuw+nga deceased (boom)
mi hushangaanga ni lini nta+blow up,mazee niomoke nisare za streets
kaa ni show si unajua tuna+show up,kama ma+pro tunamada hio sh+t (mada)
awa watoi itabidi wame+grow up,ama tuwa+show vile si hu+do ma+snitch (tuwashow)
24/7 nasaka io guap,mwisho wa wiki ndo mi naji+treat (for real)
mi humove kaa thegi mtaani washow ni messiah wakidaisha “ni nani?”
kwa block ndo mi hu+get st+rdy,who the f+ck said i can’t be an athlete (the f+ck)
kwa riba nawaachanga hanging,fungia meno,what the f is funny
though tuna+move bila planning,si unajua outcome hukuwa too massive (masssive)
unadai unanijua,that’s funny,’cause i never been showing my face to the public (never)
24/7 i keep it a hunnid,no cap,on god,si unajua sidanganyi (no cap)
mi ndo messiah natawala hood,mi na binadamuu uskii atupatani
mi ndo messiah natawala hood,mi na binadamuu uskii atupatani
tushakata na azij+panda,tunaadisia ma+cannabis
tunasakasakwa na mambang’a,si unajua riba ukuwa hide & seek
crystal clear design ya waba,sibongi kuhusu dasani (waba)
fala kunibongesha mbaya,hajui joh io ni blasphemy
tushakata na azij+panda,tunaadisia ma+cannabis
tunasakasakwa na mambang’a,si unajua riba ukuwa hide & seek
crystal clear design ya waba,sibongi kuhusu dasani
fala kunibongesha mbaya,hajui joh io ni blasphemy (hajuii!)
Random Lyrics
- $ierra (pl) - yellow diamonds lyrics
- calvary kylan - how you been lyrics
- matt andru - freak lyrics
- mob world - hellkat lyrics
- yungmiqu - holyfuck lyrics
- prudence (aus) - i give up lyrics
- motive - blue lace* lyrics
- alyosha - ты моё всё (you are my everything) lyrics
- adam daniels - miracle lyrics
- alex pril - разоблачён (razoblachen) lyrics