naffarioh - grown ups lyrics
[intro]
{naffarioh}
(tell them i’m)
tell them i’m the bomb, apa saddam ana shi+shi+shiver
washow nimetoka john so sh+t ya kugive mi sina (cena)
kupewa head na dem akona braces, ni less risky than kutuguza
nikisema nkona friends in high places, we jua tu siongelei juja (aloo)
[verse]
{naffarioh}
broke ni99as wamedunga fake nikeys, cause they know that they just can’t do it
wako mitini maboy wako hiding, adi wakipull up washow hawatustui
hawanitishi, cause i’m the man, na uskii ata sijavaa beenie
team no sleep, juu mi niko works, uku mtaani kama queen bee (waxx)
izi ends ni sides za mabuda, nawashow kukua g si eazy
kama barua kijana anajituma, ukiji+letter, ni must utatii
awa maboy wananeed refilling, juu kila siku kazi ni kujigas
stu inawaka, evacuate the building, bags ni biggie but lazima tupack (yoo)
[hook]
{naffarioh}
uyu shawrie alidaisha nimvutie nikishabuy bеnzo
sieziworry, nikona leng kwa wall nampin kama location
ngoma zangu ni kama gode juu ziko always on rotation
namshow atrust thе process, kama si leo, ntakafunga kesho
getting big bigger, stronger, we the new kids but still tunazoza
chill, skiza doba, si tunamada kushinda adi bomb blast
hii sh+t, ni ya grown ups, i guess that means wanaitaji kugrow up
si ukituona, pave the way, n+gga, songa
[verse]
{gtb emzee}
i swear hizi bars zilimchoma ka std
zilimchoma ka hpv
mans tuko fly ka fpv, tunawakia juja kama supermetro yenye ndani iko na led
i swear ukicheck pov, mi hutupanga cd ebu check cv
in a minute, mans niko init, swear niko ndani na mans i mean it
niku sere huko serengeti, mpoa ni mratchet anadai sehemu nyeti
i can’t stand her, inabidi niketi
labda unisake ukidai nikuseti
an opp’s sister namgeuza personal assistant
ni funny alitry kunitisha
mali kwa doorstep unajua siezi bisha
mans terry i deal with lakeisha
ukiji compose utaandika insha
huku ni cali hatu smoke on shisha
[hook]
{naffarioh}
uyu shawrie alidaisha nimvutie nikishabuy benzo
sieziworry, nikona leng kwa wall nampin kama location
ngoma zangu ni kama gode juu ziko always on rotation
namshow atrust the process, kama si leo, ntakafunga kesho
getting big bigger, stronger, we the new kids but still tunazoza
chill, skiza doba, si tunamada kushinda adi bomb blast
hii sh+t, ni ya grown ups, i guess that means wanaitaji kugrow up
si ukituona, pave the way, n+gga, songa
[verse]
{gtb emzee}
tume supply buds hadi shakahola
paster mackenzie matime ananiholler
walinisaka kwa forest hizo time za maombi
shida nilikuwa dayscholar
bad from kitambo, k+mbuka times nilikuwa nikikinda rola cola
sahii njoka wako rada, baller alert, baller alert
{naffarioh}
mi huomba namba kwa line ya vct, watajuaje mi ni risk taker (mzazii)
usinisake niko busy hizi streets, daily nikisaka hii paper
vuta kislim ndio nicheki visuals, ziunasa nikiwa mawada
i’m still head of the opposition, wakicheza nawanyoa ka barber (rao)
{gtb emzee}
wakicheza nawanyoa, kinyozi
alidai nimtise ma pozi, after k+mseti maloud kikohozi
nashangaa shak!lla aliomoka juu ya kupeana kikojozi
enyewe mnatusho, majozi
ka we ni badman, dont force it, dont floss it
{naffarioh}
awa maboy wanafloss no dental, wanapenda mapara ka mende (aloo)
no label that’s for the record, for life kijana ako independent (for life)
na bibi ya lot ni a victim of asalt so daily mi naangalia mbele (mbele)
daily si tunaomba support kama jegi za madem wa awa mamwere
(mzazii
Random Lyrics
- los lonely boys - natural thing lyrics
- lokygramme - kam dé sayo lyrics
- ad sheik - empina a bunda vou penetrar lyrics
- evan wheel - summer23 lyrics
- just g - 7 letters lyrics
- ao dmk - ao dmk- introduction lyrics
- رامي جمال - hakhaf men eah - هخاف من إيه - ramy gamal lyrics
- joe goddard - ghosts lyrics
- henry freitas - é ela lyrics
- suzie (vocaloid) - hourhand lyrics