naiboi - jam lyrics
tutajam na hii jam
mtajam na hii jam
tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, haja gani ajam?
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
tupige kasherehe pande gani?
hapa kila mtu amebamba wake
kwani rada gani? nadai rada safi
otero mambo mbaya mi ndio baba yake
kwani rada gani nadai rada safi
otero mambo mbaya mi ndio baba yake
aiya cate naye vile kamesimama
macho macho usijitege kamba
you only live once kama mbaya mbaya
jipange we mwenyewe usipitie choir
sikia wamejam siku hizi nimechange diet
wamejam vile bei pia mbaya
wamejam ju siku hizi wakinicall
ni mteja wa nambari….
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, haja gani ajam?
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
ati wameshika nare, nare eh
nare nare eh
wameshika narе, nare eh
nare narе eh
ati wameshika nare, nare eh
nare nare eh
wameshika nare, nare eh
nare nare eh
niliweka nywele yangu dye wakajam
nikasema femi bado uno wakajam
sai fine gyal pengting si wanakam
sikia umejam juu kalenda imejaa
jah jah bless me
ameniweka fiti mbele ya enemies
acheni utoto femi bado plan literally
things weekendi mi ni daily
kustand or cheki mi sispendi
naskia wamejam siku hizi nimechange diet
wamejam vile bei pia mbaya
wamejam ju siku hizi wakinicall
ni mteja wa nambari….
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, haja gani ajam?
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
si mtajam na hii jam, tutajam na hii jam
mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
ati wameshika nare, nare eh
nare nare eh
wameshika nare, nare eh
nare nare eh
ati wameshika nare, nare eh
nare nare eh
wameshika nare, nare eh
nare nare eh
Random Lyrics
- kötü örnek - ellerim cepte lyrics
- thurzy - lyam lyrics
- king saha - zakayo lyrics
- camille saint-saëns - la brise lyrics
- יובל בנאי - goral nadosh - גורל נדוש - yuval banay lyrics
- hank thompson - everybody loves a pretty baby lyrics
- 3pk artis & pck97 - blt lyrics
- dark legacy - the fields of oddities lyrics
- sdm kash - menino lyrics
- linkin park - roads untraveled (acapella) lyrics