naiboi - makasiriko lyrics
usibishane na babu wewe
aaah
uuh yeah
ilogos music yeaah
nai nai
kwani bosss
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
aya pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
kuna sampuli flani ya watu boom
wanakuaga na roho chafu yeah
a wanajifanya mbele ya watu
eti marafiki k+mbe ndani nima chatu
a basi punguza feeling
vitu zingine hazinaga meaning
ya mvua unajua dalili
a nishaona mbele niko gangari
gangari eh
back stabber dem a back stabber
wanakukulia bila kutumia rubber (mafala)
itabidi leo tuwatoke ki design
fitina fitina na resign
nai nai
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
aya pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
hii mwaka si bishana mara mbili
vitu zingine uchokesha akili
hii mwaka nimechorea ma pressure
hii mwaka ni ya ku sakanya pesa
kwenye radio zidi kunisema
side yangu ni volume na ongеza
ye na tutazidi kuwa tesa
a naiboi worldwide tingisha mеza
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
basi pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
aaah
uuh yeah
ilogos music yeaah
nai nai
kwani bosss
Random Lyrics
- wavii [uk] - wake up lyrics
- slenkh - strejcek flavour lyrics
- димдэкт (dimdekt) - весенний день (vesenniy den) lyrics
- mei rose - breaking you lyrics
- jecca fitz - til i drown lyrics
- sikori - numb lyrics
- ruusut - uni huijaa nukkujaa lyrics
- emma terangi - taku kimi anga lyrics
- kimemes - te tari taake lyrics
- nowkie - сердце (heart) lyrics