naiboi - slidin lyrics
umebeba size yako
umebeba hauna presha
unatuliza roho
hata nitoe roho
na we ni mtoto wa kariokor
njoo tutese ungwaro
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
mtoto vеry sweet ka kuku za sanford
huhitaji sauce wala salt nayo nayo
kwanza ukiwa moshi na yako kamnyweso
hatuna though oh no no till they brеak or dawn
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
Random Lyrics
- observer drift - mirror image lyrics
- the tallest man on earth - in your garden still lyrics
- nase noir - the best yet lyrics
- glasond - no more lyrics
- emaa - poartă-mă lyrics
- steve hofmeyr - baas van die plaas lyrics
- dick feller - i just don't look good naked anymore lyrics
- pole joe - pilate lyrics
- yaboiblaze - riley reid lyrics
- mamamoo+ (plus) - super gap (박세리 테마곡) lyrics