naiboi - uwi lyrics
oh she say she likes it
how i give her vibes
ako na nida kwa akili
but am the one she likes
mchezo yake tight anacheza polite
na vile toto ameiva anadai kuwa wife
anapenda dombolo tukiwa solo
simu in+z+ma speaker zinaimba, tukiwa solo
anapenda ndombolo, ya solo
picha zinapigwa, insta naanikwa
ati nimelamba lolo
stingo zake ni za aeio, uwii
ni za aeio, mama mama
stingo zake ni za aeio, uwii
ni za aeio, mama mama
aki vile mi napenda watoto
ni kama nilirogwa
kwa baridi iwe joto
vile mi napenda watoto
hata wanitende mwenzako sikomi
ooh sikomi
unak+mbuka yule wa dimple
mwenye ana lines kwenye shingo
juzi alislide ndani ya inbo ooh
mtoto mkorofi anapenda fimbo
alinicheza ni kama wimbo
oh sikujuwa itakuwa hivo
stingo zakе ni za aeio, uwii
ni za aeio, mama mama
stingo zake ni za aeio, uwii
ni za aeio, mama mama
atis alert, atis alert
yaani kujichunga for mе
atis alert, atis alert
twende wote nairobi kampala, ayee
mtoto amejibeba
kigali kinshasa, ooh ameweza
anachanganya
dar es salaam mombasa, mtamu kama pweza
wanachanganya
harare mauritius, tunawapenda wote
wanachanganya
Random Lyrics
- siem - nah nah nah nah lyrics
- alex22 - cartuccia grigia lyrics
- nun attax - alyunt lyrics
- bambi baker - daughter slaughterer lyrics
- pablomaggot & sora999 - my own hell lyrics
- kleph gh - this year lyrics
- error101 & 45hre - leave it quick lyrics
- babybird - bug in a breeze lyrics
- catherine spaak - prima di te, dopo di te lyrics
- 2mygrave - faces lyrics