naiboi - watu wake lyrics
mungu na watu wake
haachi watu wake.
mother fulani, amekopa pesa fulani
achangishe alishe watoto wa jirani
yeeh, ouuh
buda fulani, ametoka base fulani
na worry yake ni asibambwe na maaskari
(some are protected some are not)
kuna ras fulani amekamatwa na mume wa fulani
excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi
randa inapigwa safi bro
so what is love
question marks when its right there on your face
so what is love
question marks when its right there on your face
oooh watu wake
haachi watu wake
mungu na watu wake
haachi watu wake
(sir jah)
nigaa fulani, amevuka na kashamba ka fulani
na anakana mbele ya nchi hadharani
manzi fulani, amekula fare fulani
na vile boychild amejipanga hapa nyumbani
(tusidanganyane)
najua kura fulani, zitapigwa na watu fulani
matokeo itaonyesha mtu fulani
(nikama hatuna say no more)
Random Lyrics
- mikelangelo and the black sea gentlemen - the wrong thing to do lyrics
- sioux falls - empty shows lyrics
- jeong eun ji (정은지) - simple is the best lyrics
- kyle - mr. man & k.i.d lyrics
- charles harte - your dumb face lyrics
- g.m.i venus - searching lyrics
- sparkaman - hoods hottest lyrics
- paul mccartney - beautiful night (run through) lyrics
- bosell - grown lyrics
- mxpx - all of it (liq version) lyrics