nameless (ken) - ninanoki lyrics
[intro: nameless and amani]
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki…
mimi na wewe
mimi na wewe
mimi na wewe
nameless na wewe
mimi na wewe
mimi na wewe
mimi na wewe
aiyaa ohh… x4
[verse 1]
it’s a friday night, everything’s alright
eeh nyinyi mabeste, twende tukatike
if you like to dance, well then here’s your chance
sisi wa nairobi, tunapenda hepi
it is in your eye
oh you can’t deny
eii mumefurahi, wacha kujidai
hey you over there, hey you look familiar
si tukatike, mimi na wewe
[hook: amani] x2
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
[verse 2]
huyu chikidee, akona bidii
ana dance kuku, huku na huku
na huyu jamaa, huyu yu shujaa
anajua kukata, bila kuhata
it is in the air, it is everywhere
bet you feel like removing, your underwear
ogopa dj, wacha ku-delay
sisi tumefika, sasa tutawika
[hook: amani]
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
[bridge: nameless]
oh ameikoa
oh ameikoa
oh ameikoa
can we dance together?
manze umebeba, manze unaroga
umefanikiwa
can we dance together?
kai mütaraigua wega mükeina, mükeina
(ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki)
mügeina kai mütaraigua wega, wega
(nikisikia hii muziki wanasema nimenoki)
[pre-chorus: nameless]
aii aii, oh no
aii aii, oh no
i’m losing control
i’m losing control
aii aii, oh no
aii aii, oh no
wacha kujifanya, mnahanyahanya
[hook: amani] x2
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaaa ee yaa ee yaa ee
aiyaa oo
aiyaa oo
[outro: nameless]
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki
nikisikia hii muziki wanasema ninanoki
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki
nikisikia hii muziki wanasema ninanoki
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki
nikisikia hii muziki wanasema ninanoki
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki
nikisikia hii muziki wanasema ninanoki
ninanoki, ninanoki nikisikia hii muziki
nikisikia hii muziki wanasema ninanoki
Random Lyrics
- savannah outen - out of the woods lyrics
- pulsedriver - cambodia (money-g remix) lyrics
- sexion d'assaut - instinct de survie lyrics
- telus - tu vas prendre des balles lyrics
- ace of base - wheel of fortune - 2009 lyrics
- francisca valenzuela - armadura lyrics
- la trakalosa de monterrey - como los gatos (feat. xitlali sarmiento) lyrics
- joey moe - venus (fra toppen af poppen) lyrics
- hodgy & alvin risk - o.p.e.n. lyrics
- jesus culture - your love never fails (oh snap it's luke! remix) lyrics