nancy hebron - heri heri lyrics
heri heri ×8
anaengojea
mungu mwenyezi ametuita kutoka mbinguni,
tufanye kazi ya mungu kila mmoja kipaji chake
nabii mchungaji kipaji chake
daktari mwimbaji kipaji chake
kila mmoja karama yake raisi mbunge
karama yake na nchi kuongoza karama yake…
kupitia kipaji hicho tufanye kazi ya
mungu, kipaji hicho kisikufanye umuache mungu
heri heri ×8
anaengojea…
sasa nabii wamemgeukia shetani
wameacha ya mungu na k-mfuata shetani
mungu amechukia ameacha agizo na kweli yake
rudini wana wa mungu kwake,
tumieni alivyowapa kwa utukufu wake, rejeeni kwake…
heri heri ×8
anaengojea
hata wewe uliyekata tamaa, rejea kwa mungu anakupenda
na wewe unaetaka kujiua, rejea kwa mungu anakupenda
uliemuacha mungu na huna tumaini tena, rejea kwake anakuhitaji
wokovu wake wa milele unangoja nini tena, rejea kwake
heri heri ×8
anaengojea
heri yako unaemtafuta mungu, ukimuita huitikia
imani yako isije kuwa ngumu, mbinguni hutoweza ingia
hata ukiwa mgonjwa, ukimuita huponya
atakupa makazi na kutibu kizazi
mkataeni shetani na njia zake (mkataeni)
mataifa tutangaze na neno lake, rejeeni kwake
heri heri ×8
anaengojea
uliedharauliwa hebu rejea kwake
yeye atakushindia na kukuinua
kuna ushindi wa milele na amani ipo
tele, utakuwa na shangwe na furaha tele
maisha yako yameharibika (mtegemee
) atakupigania ukimuita, rejeeni kwake
heri heri ×8
anaengojea
(mwisho)
Random Lyrics
- the babe rainbow - planet junior lyrics
- ocean alley - rage lyrics
- edition square - problemas lyrics
- ionnalee - silence my drum lyrics
- alfie templeman - sunday morning cereal lyrics
- gloryhammer - the fires of ancient cosmic destiny lyrics
- sugar candy mountain - eye on you lyrics
- pirulito crazy - tu hablas de mi lyrics
- ocean alley - overgrown lyrics
- lil durk - turn myself in lyrics