nande boyz - panadol lyrics
(intro)
ona baridi ime nishaka
na we ndio koti ya ku ni vika
ona wenzangu wana nicheka
(verse 1) (lbk nandeboy)
time no be west time no be pass come give me medicine
you know i need panadol cetamol njoo unipe tiba mi amore
we ndio w+ngu doctor dont let me die, (don’t let me die)
sidechick you know siwezi try
nisipo kuona mama amina gafla na shikwa na homa
usipo kuja uta kuta mwili bila uzima
s’il te plais soi gentille ne perd pas le temps moi je t’attend
(hook)
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
(vеrse 2) (pakii)
this kind fever niko tabani wе ndio docta w+ngu nakusubiria hapa
nilipo niko kitandani na kama si we wa ku ni tibu nani
na mwili wote ume ni regea natetemeka kama sikuoni mi si poni
we ndio dawa na subiria niki kuona nita pona mina imani
i’m in coma and you are my medicine
ne prend pas ceci come la fantesis
we ndio w+ngu uuuuu
(hook)
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
(verse 3) (lbk nanderboy & pakii)
i’m addicted to you no be one like you
niko hoi tabani sijiwezi usi nipe ya choyo ongeza doze heiii
ona baridi ime nishika na we ndio koti ya ku ni vika
ona wenzangu wananicheka
usipokuja uta kuta mwili bila uzima
u’il te plais soi gentille ne perd pas le temps moi je t’attend
(hook)
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
we ndio yangu panadol (panadol)
we ndio yangu panadol
Random Lyrics
- epic rap batles of history - stewie vs bluey lyrics
- the namby pamby - sardines lyrics
- howard johnson (soul) - missing you lyrics
- the l-train - epilogue: the fall of the shadow's veil lyrics
- wakuu music - chambua lyrics
- eefje de visser - pixels - bitterzoet live lyrics
- miseryfell - i dont think im sane. lyrics
- ynkeumalice - dawg that hoe /smash /sex shiesty lyrics
- мэйкс (makes) - каждый хочет денег (everyone wants money) lyrics
- bdd420 - reload lyrics