nandy - dozi lyrics
[verse 1]
yaani tushawaloga walioshika manyanga
si walipaka powder na chale wakachanja
na kwenye vilinge udaku kwa madoti ya kanga
nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga
ooh yayeee
imegeuka shilingi w+n+lia (wameyamwaga)
walidhani magimbi k+mbe bia (wameyavaga)
[pre chorus]
tuwapaka wino, machino
wenyewe wamechimba shimo
moja jino kwa kisigino
wananunga tera nawazidi kimo
[chorus]
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ooh yeah hatucheki na ndezi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ni mwendo wa dozi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
kama wagonjwa nawapa ulezi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ooh yaaa hatuwabembelezi
[verse 2]
nikimake navimba kibaria
kamba kwa buti nakazia
wakipiga kunuti napanguwa
kwa ukubwa wa show wanapaliwa
naitekenya kete, wakipanguwa cheche
miluzi makeke mteja na kete
saluti, kuruti, katekenya kacheka kanyuti
bunduki, baruti utapepea ka parachuti
[pre chorus]
tuwapaka wino, machino
wеnyewe wamechimba shimo
moja jino kwa kisigino
wanaunga tеra nawazidi kimo
[chorus]
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ooh yeah hatucheki na ndesi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ni mwendo wa dozi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
kama wagonjwa nawapa ulezi
(uko kwi uko kwu uko kwiko)
ooh yaaa hatuwabembelezi
Random Lyrics
- seo hee ra (서희라) - 사랑이란 (love is) lyrics
- artificial go - circles lyrics
- ganser - ten miles tall lyrics
- kula diamond - bloody spelltalk outro lyrics
- lil crush & colombian crush - viral love (acoustic) lyrics
- brianna barnes - the tale of rathskeller lyrics
- oulaya - gelou zini lyrics
- vũ thanh vân - my gentleman lyrics
- lqsoni - vino lyrics
- ycb [9inersociety] - fade away lyrics