azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy - kiza kinene lyrics

Loading...

kimambo on the beats
kiherehere kimeniisha
eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako
waninanga wee
zaidi yanisikitisha
eti nimekuwa chuma cha kafuro
nipo juu ya mawe
jikoni kw+ngu kaingia mdudu gani?
mara kwenye kikombe mara sahani
ona katibua maji kisimani
oooh salala
huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
masala
nimezidisha chenji kimeota nyasi
mbaghala
nilipita dirisha nafasi kuigombania
ah baba
k+mbe basi limejaa na mlango upo
haioni mboni yangu (kiza kinene)
kibatari utambi umetumbukia (kiza kinene)
yaila ghidira yangu (kiza kinene)
nimepekechwa nguzo niliyoegemea (kiza kinene)
ah… aah
i’ve been trying not to diss you
mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi
hopе uko sawa, my darling
and i’ve been trying not to miss you
ila unapoenda kutwa yangu maumivu
we yangu dawa, ooooh ooh
chumbani kw+ngu kaingia kunguni gani?
mara kwеnye kitanda mara kwa shati
aii, haya ni maruani
yanafanya nakosa amani
oooh salala
huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
masala
tushazamisha meli yameisha
mabega
nitaambia nini waingo mukhana tire na
ingababwa
nina mafeelings ingawa sijiwezi
hayaoni macho yangu (kiza kinene)
koroboi utambi umetumbukia (kiza kinene)
yaila ghidira yangu (kiza kinene)
it never gonna be the same
no no no no oooh (kiza kinene)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...