nandy - napona lyrics
Loading...
napona napona
napona, oxlade
napona napona
(kimamba) napona (on the beats)
yana nitoka macho, nikikuona kwa mbali
nakosa usingizi, usipokuwepo silali
nafuata ulichonacho, sijafuata salary
utanifanya chizie kama utakwenda mbali
it’s you that i have in my heart, i don’t look for passenger
only you i need you right now
nibebe kwenye tenga (ooh)
mana mapenzi yako yana (iyee) nielemea (iyee)
ulipush ya jana laendelea
penzi limesimama we kidedea, mpaka raha unavyo nipea
maana napokuona weee (napona napona napona)
nikipata penzi lako wewe (napona napona ooh napona)
maana napokuona weee (napona napona napona)
nikipata penzi lako wewe (napona napona ooh napona)
Random Lyrics
- hank williams jr. - is it that much fun to hurt someone lyrics
- mougounho - wywh, pt.2 lyrics
- jarna - i'm fine lyrics
- rauhbein - das letzte hemd lyrics
- kill sheriff - start! lyrics
- swirf - aşkım* lyrics
- owen (usa) - beaucoup lyrics
- nadson o ferinha - paradigmas lyrics
- second still - ashes lyrics
- rakky ripper & marta sango - adulta y funcional* lyrics