azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy - no stress lyrics

Loading...

[intro]
no more stress, no bad mood
weka mbali stress, tuenjoy muda huu
no more stress, no bad mood
weka mbali stress, tuenjoy muda huu
mr lg

[verse 1]
no more stress, mi sitaki shida
na ujiangalie, kiufupi sina muda
no more, ukinibwaga haina shida
nikung’ang’anie kwani we kadi ya nida
na ivo vikodikodi msinisumbue
najichanga vyangu mjengo niununue
kiwe kikubwa, kidogo, ilimradi nipumue
wacha nifosifosi, mungu tu ndo afungue

[pre chorus]
kushindana mashindano mie siwezi
kupambana mapambano mie siwezi
eti kutwa malumbano mie siwezi
zangu dua na goti namwachia mwenyezi

[chorus]
kifupi no more stress
no bad mood
weka mbali stress
tuinjoy muda huu
no more stress
no bad mood
weka mbali stress
tuinjoy muda huu
lg, lg, lg, l+lg

[verse 2]
lord have mercy
’cause i know you’re bеst
my heart is the test
as [?] no rеsty
world is on fire (fire fire fire)
and i don’t want retire

[pre chorus]
kushindana mashindano mie siwezi
kupambana mapambano mie siwezi
eti kutwa malumbano mie siwezi
zangu dua na goti namwachia mwenyezi

[chorus]
kifupi no more stress
no bad mood
weka mbali stress
tuinjoy muda huu
no more stress
no bad mood
weka mbali stress
tuinjoy muda huu
lg, lg, lg, l+lg



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...