
nandy - nyanyasa lyrics
aaaah aaaaah unaninyanyasa aaah
unaninyanyasaaaah uuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaaah aaah
uuuh uuuh unaninyanyasaaaah euuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaah
mwili umekonda nimepunguaaah haieleweki nachougua aaah moyo kidonda
unakw-ngua inauma sana aah mbele za watu unaniumbua sina la kusemaaah
visa unanifanyia j-po navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
kuwa unanikosea itakuwa too late j-po unaninyanyasaaaah baby
unaninyanyasaaaah wewe
unaninyanyasaaaah baby unaninyanyasaaaah bby unaninya…
unaniangusha chini aniokote nani j-po ujui thamani yangu me nani
ataitambua aaah kwanza k-mbuka baby si tumetoka mbali
iih ukiwa huna siwazi nimekubali tuijenge familia aah
visa unanifanyia j-po navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
kuwa unanikosea itakuwa too late j-po unaninyanyasaaaah wewe
unaninyanyasaaaah wewe unaninyanyasaaaah aaah
wewe unaninyanyasaaaah aaaah aaah unaninyanyasaaaah
Random Lyrics
- mellowbite - трек про варку (track about cooking) lyrics
- מעיין לובן - baragil - ברגיל - maayan loven lyrics
- young shekeh - april 26 (birthday) lyrics
- dopeworld - slow and steady steps lyrics
- cresp joe - day to day lyrics
- m0lotov - no hook lyrics
- felikz - richtig lyrics
- azure - y so reckless? lyrics
- victoria hayter - in my skin lyrics
- boy electric - moon swing lyrics