nandy - siwezi lyrics
[verse 1]
naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
k+mbe kuachwa inaumaga ivii
tena n+z+di umia nikilalama machozi yanatiririka
k+mbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa
umeniumbua bora niseme
kiapo nilicho kula bora nikiteme
mapenz shikamoo sirudii tenaa
umepatwa na nn si useme
kinachokufanya we uniteme
mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa
[pre chorus]
sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[chorus]
bila weee me siwez (sauti inarudia)
siwez siweziii ( nak+mbuka uliniambia)
bila weee me siwez (sauti inarudia)
siwez siweziii ( nak+mbuka uliniambia)
[verse 2]
unanifanya me nalewa sana
haipiti siku bila kugombana
mapenz yako ya kibabe sana
malumbano ya mapenz siyawezi
kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana
mapenz gani haya kutesana
wasiwasi wa mapenz
ivi kwann we hisia zangu un+z+kondesha unaniweka roho juu
ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii
[pre chorus]
sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa
[chorus]
bila weee me siwez (sauti inarudia)
siwez siweziii ( nak+mbuka uliniambia)
bila weee me siwez (sauti inarudia)
siwez siweziii ( nak+mbuka uliniambia)
Random Lyrics
- ethos (usa prog rock) - the players (of the game) lyrics
- jeff jim - still lyrics
- code red (us) - xenophobia lyrics
- gilda lyons - cradle song lyrics
- wszyscy jesteśmy ślepcami - polskie slumsy lyrics
- kroshik & prod. spike - песня про бэбру lyrics
- jae kyung (재경) - 너라는 아픔 (the pain of you) lyrics
- flavor foley - человек (перевод на русский) lyrics
- bloodshot lyrics lyrics
- conn1eblu - love diary 2025 (i think i missed the point lol) lyrics