nandy - umenifaa lyrics
[intro]
wakati wa shida
wakati wa shida
huniepusha huniepusha mimi
umenivusha
[verse 1]
ni wewe
ulinipa njia pasipo kuwa na njia, ni wewe
ulinipa chakula wakati wa njaa kali, ni wewe
ulinifuta machozi wakati wa huzuni, ni wewe baba (aah)
[pre chorus]
ina mengi dunia na ina siri nzito
hata magumu yalipotokea hukuniacha mwenyewe
kwenye sufuri umenitoa fedheha na laana umeziondoa
furaha na faraja imenijia yesu
[chorus]
umenifaa, umenijaa, wakati wa shida
umenifaa, wakati wa shida
umejibu maombi yangu, wakati wa shida
umenifaa, wakati wa shida
[verse 2]
umetarafu na matendo ya wanadamu
kwa neno la midomo yako
umeniepusha na njia za wenye jeuri
nyayo zangu zi kwako
nitatengeneza nawe
nitajiimarisha nawe
kwa kinywa changu nitakiri
ulivyo uaminifu wako
[pre chorus]
ina mengi dunia na ina siri nzito
hata magumu yalipotokea hukuniacha mwenyewe
kwenye sufuri umenitoa fedheha na laana umeziondoa
furaha na faraja imenijia yesu
[chorus]
umenifaa, umenijaa, wakati wa shida
umenifaa, wakati wa shida
umejibu maombi yangu, wakati wa shida
umenifaa, wakati wa shida
[bridge]
nipokee vumbi nifute
nishike nisiaibika
nipokee vumbi nifute
nishike nisiaibike
[outro]
wakati wa shida
wakati wa shida
wakati wa shida
wakati wa shida
yesu unisaidie
Random Lyrics
- daygrols - стиль (style) lyrics
- solonlyswaga - твой любимый репер [your favorite rapper] lyrics
- facebrooklyn - cuando no quede nada lyrics
- fotocrime - plowjob lyrics
- sabrina dahmer - robocop lyrics
- venom_cube - water shurikin splash lyrics
- weezy deedz - 1.8 minute squabble lyrics
- c. spaulding - gatorei lyrics
- arxhivee & milk 10k - built in lyrics
- 容祖兒 (joey yung) - 星圖 (star atlas) lyrics