azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naomisia - mishe lyrics

Loading...

verse 1:
siku ya tatu sijarudi home
my mama must be worried, worried, worried
najua presha imempanda cuz kila akipiga mi nakata na sina data
but mom and dad, sio makusudi
nasaka dili, nyumbani nitarudi (rudi)
bado nawapenda sana
kwenu sina ujanja
k-mbuka kwamba tuko mjini so kulala adimu
mishe chini chini kudaka fedha taslimu (oh yeah)
daladala, pikipiki
nagombania siti
siwezi panda uber kila wiki

chorus:
whoa whoa whoa oh oh
no oh whoa oh oh
i’m really not about you babe
i’m really about this bread
what i said is what i said
sio siri
niamini
piga ua
mi ndo dili

verse 2:
nakazana napambana cuz i know this is a good ting (but it don’t come easy)
hakika siwezi shindwa, god’s got me on a love ting

[brian simba]
hii verse nimeandika nimeshika show money
inipe maconfidence cuz success ipo slow flani
wanaodhani mpunga kweli haupo hadharani
jamaa nawapa maramani ya kuwa rubani ooh
exhibit a mathelani
mommy i love you ila siwezi rudi nyumbani
niko busy nagawa mahope kibao mitaani yani
nisipo fanya mi kwani atafanya nani?

(chorus)

(bridge)
kipenzi, hunionagi
samahani, nakuomba radhi
wacha waniseme
wachonganishi, sina muda nao
wacha wajibebe
na vinyongo vyao

(chorus)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...