nash qash - weekendi lyrics
yeah, ahh, joh
prrrr ha ha
ni weekendi joh
wasee watokee
mbogi kujipin, ha ha
beat crime
weekendi imejo jo tutokee
mbogi kujipin ganji na madem
nimejaza gari dere weka gear
si tank ni full ama nikujazie
mbogi jo imelia we tu kanyagia
mafuta mazee situpite mia
tushafika base jo tumeingia
tushafika base joh tu me ahh
kulia kushoto cheki tu madem
tulia nikusho vile miucheza game
na order na order nika tuko koti
madem wanajipa mazee wako noty
si wanatingiza ka fish inadedi
walai tunamedi ka mapedi
nashukuru mungu sijadedi
na mi nikidedi nipate mbinguni
napenda ma vajo kama maria
na fundamentos ni ka ken wa maria
napenda madem hucheza golf
wakona class ka mwalimu rachael
kwa meza mеza machupa zimechrome
ambia bar tendеr si aturudi home
ju sai si wote tuko kwa zone
tunacheka tu mdogo zikishika
na ka nikukata tukate hadi kesho
lazima tutese ju tunakesha
hatuna pressure kwani ni kesho
ambia waiter chafua meza
luku ni safi tupige picha
cheki mangoko mali ni fisa
lazima mlewe na mkizima
kama raburu tutawabeba
weekendi imefika joh tutokee
mbogi kujipin ganji na madem
nimejaza gari dere weka gear
si tank ni full ama nikujazie
mbogi imelia we tu kanyagia
mafuta mazee situpite mia
tushafika base joh tumeingia
tushafika base joh tu me ahh
maswali mingi ka tu waiter
sipendi nguo mi ni waider
ndawalewesha kama tu bar tender
ex w+ngu joh walai sialinitenda
shorrie amebeba hadi kuliko nganya
ka hesabu joh siamenichanganya
vile naroga tu wadai nikamote
nifike kwa tv hadi 10/10
do re mi fa so latido siulete doo
dem latino ndo mi nadai before nidie
walai bilai na mi si lie mazee na fly
na realise ni ndoto tu na actualize
na manifest na multiply sisoti joh
nakanyaga hadi kesho walai situlii
raundi hii mahater wote tu mtatii
tujibambe lazima joh watu wajue
weekend imefika joh tutokee
mbogi kujipin ganji na madem
nimejaza gari dere weka gear
si tank ni full ama nikujazie
mbogi jo imelia we tu kanyagia
mafuta mazee situpite mia
tushafika base joh tumeingia
tushafika base joh tu me ahh
kwa floor ni madem slim thick
mazee na pia bbws
tukona wasee wa subaru, renji
na pia wa bmw
kufika hadi home walai ni kesho si gava
ishatoa curfew
ni weekendi ukijaribu kupiga simu
mteja apatikani
come close madam bend over mi
nimekuja kukuchokoza tu
ju ya vile unadondosa tu
kama pasi ntakunyorosha so
karibia nikutongoze uu
siku kucha mimi na wewe tu
mikono kwa hewa ka uko chonjo
wacha maswali we tu rudia
weekend imefika joh tutokee
mbogi kujipin ganji na madem
nimejaza gari dere weka gear
si tank ni full ama nikujazie
mbogi jo imelia we tu kanyagia
mafuta mazee situpite mia
tushafika base joh tumeingia
tushafika base joh tu me ahh
weekend imefika joh tutokee
mbogi kujipin ganji na madem
nimejaza gari dere weka gear
si tank ni full ama nikujazie
mbogi jo imelia we tu kanyagia
mafuta mazee situpite mia
tushafika base joh tumeingia
tushafika base joh tu me ahh
beatcrime
Random Lyrics
- invextor 1800 - outside (better days) lyrics
- гуф (guf) - глаза к небу (eyes to the sky) lyrics
- hariz - border ii lyrics
- гуф (guf) - улыбнись (smile) lyrics
- handsome - save some love lyrics
- kxsign - insane! lyrics
- ancolie - les flocons de papier lyrics
- warmth - flow lyrics
- sick weedd - sick weedd - no way to home (prod. greaf) lyrics
- miledi - meilės žiedai lyrics