navie1 - how come lyrics
intro:
yeah, yeah yeah
yeah yeah yeah
how? (how come yeah)
look yeah
chorus:
mara ngapi ninamute (ninamute)
how come unabonga sh+t (how come)
mara ngapi niko kimya kimya kimya kimya ah look
how come unatalk sh+t yeah
how temme temme temme, how come yeah
how come how how yeah
how come yeah(how come yeah)+2
verse 1:
njoo katikati ya duara, huko kuning’ata na kunipuliza ni ufala
bado nko macho cjalala, kwani ni lini ulining’ata ukapata hizo dollars
ama uliconquer mitaa ikafunguka milango kabisa ukavuka mabara
story kuhusu ukaweka chini ya carpet ili muhuni nisije ng’ara
ok nimeshakuelewa, ukiniwaza unaelemwa
huku mi sina shida ka ngekewa, mi kichwa cha train mwanangu wе behewa
nakupa kitu moyo unapenda, sijazi midosho moyoni ah no nеver
ni big maker na pia ni big big spender, hauna sababu ya kutonipenda
chorus:
mara ngapi ninamute yah (ninamute)
how come unabonga sh+t yeah yeah yeah (how come)
mara ngapi niko kimya kimya kimya kimya (ah look)
how come unatalk sh+t yeah
how temme temme temme, how come yeah
how come how how yeah
how come yeah(how come yeah)+2
verse 2 [orbit]:
how, mema nnayofanya kwako rahisi kusahau? (rahisi kusahau ,yeah ma n+gga ma n+gga)
how, vile hujafika kokote unaleta dharau? (unaleta dharau, yeah yeah)
mazuri huyaoni we unacheck maouvu, na nikifanya dili zakatika mapovu
kipaji changu hufichi kama pembe za ndovu, unakaa nao kunisema kwanza wote saa mbovu
we tamaa mbovu, sitatetema unacheekesha ka whozu
mi niko vyema siwezi dema kwa uchovu, rehema za wokovu
ndo maana pesa na mimi ka ajali na makovu
na nakuja kukimbiza dar, najua itakunyima raha and don’t give a f+ck
nimezaliwa kuwa star, yo never gonna hold me down and i promise that
i pray my n+ggas never die, before i take ’em to dubai and even after that
man we really like to keep it tight, loose lips sink ships ma n+gga we hujiulizi kwani
chorus:
mara ngapi ninamute yah (ninamute)
how come unabonga sh+t yeah yeah yeah (how come)
mara ngapi niko kimya kimya kimya kimya (ah look)
how come unatalk sh+t yeah
how temme temme temme, how come yeah
how come how how yeah
how come yeah(how come yeah)+2
Random Lyrics
- randy prozac - google iballs lyrics
- exlo - aries (rerecorded version) lyrics
- vannda - black rose lyrics
- ether - neverland lyrics
- begravement - destroying angel lyrics
- lil durk - stand up lyrics
- musicólogo y menes - problema (mym remake) lyrics
- under the gallows - the kraken lyrics
- khel pangilinan (feat. justin vasquez) - mad lyrics
- youri - chute libre lyrics