azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego - acheze lyrics

Loading...

washa hapa zima pale
zungusha kwa pele
tw+nga mpunga tule mchele
roho kunja huoni gere

boringo ya kwasa kwasa
zima ndombolo weka chakacha
vaa ndala vaa chachacha
nimeamka babu marasta

kila tonge done
vyenga zidanne
kama enga kifuani
n+z+bua chemba chumbani

mr lover lover mr scooby doo
domo kama chai jaba liko juu juu
mr lover lover mr scooby doo
domo kama chai jaba liko juu juu

mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke
mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke

nikichomеka chuma anang’ata ulimi
mbio za duma swara porini
mwajuma anaguna anataka nini?
changanya mrenda kwenye magadi
bad k!llеr mwenye kipaji
punguza hasira kunywa maji
ni kuhuk+mu kama jaji

ukipewa nafasi mna bwabwaja
mwingine naskia mabwabwa
mna tabia za kina dada
nawa zoom na tayari mshajaa

we fanya kafara vunja n+z+
uonekane wewe
uwanja wako mwaga radhi
ushindwe mwenyewe

mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke
mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke

umarika nimwingi kula powder
nikiwatisha waoga
huyo naye nani hajakoga?

kama tae kwon do doni yen
hawataki za kimombo tulieni
paka na mkongo mkamie
alama mpaka tongo tongo mkazie
amka, sanuka, toa shuka vaa bukta (ayee)
chumvi kamwagika pigi kabaa!(ayeee)

mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke
mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke

hee! hee! hee!

mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke
mwambie aje acheze aruke
acheze aruke acheze aruke



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...