![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
nay wa mitego - go baba lyrics
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go baba! (free nation)
maisha ya mama ndo yamenifanya nipo juu mpaka leo
usiponisikia redioni kwenye banda la video
bodaboda bajaji kitaani mi ndo rais wao
na leo nawalaza nje si nina funguo zao
rais kamanda kipenzi cha wana
mademu hawaaminiki no no wamesaliti chama
au mnasema aje masela (go baba)
tuuze nchi tugawane mahela (ndio baba)
kwenye show zao wao kiingilio si ni bure
kwenye show zangu mimi kiingilio kile kile
okay sijawai kuogopa (ndio)
j+po napingwa (ndio)
nasema sihami nchi na wala siachi kuimba (ndio)
mnaniona kichaaa, nishakamata rungu
raundi hii mpaka mashoga mtajifungua kwa uchungu
ni baba yaga, rais wa masela kitaa
na wanangu tumeshibana kama mlevi na baa
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
naona kama sauti yangu haiko freshi hivi
hebu nipe maji nipoze koo kidogo
alafu tuone itasound vile, au sio twende!
go eeh, go eeh, go eeh
go eeh, go eeh, go eeh
go eeh, go eeh, go eeh
ni++ gabana ba varangani
nataka niwaonyeshe mi na wao hatuendani
hatupigi mke bwana tunapiga pesa
akichepuka anayechepuka ya nini ufe na presha
hii ndo bongo bana ujinga ndo unapewa nafasi
shule haiwezi trendi kwa kukosa madawati
u mnasema aje masela (go baba)
tuuze nchi tugawane mahela (ndio baba)
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go baba, go baba, go baba
go eeh, go eeh, go eeh
go eeh, go eeh, go eeh
go eeh, go eeh, go eeh
Random Lyrics
- khaniz - nigga freestyle lyrics
- 山下達郎 (tatsuro yamashita) & alan o’day - angel of the light lyrics
- áine deane - gut feeling lyrics
- musa dagh - no future lyrics
- stone leaders - shot by lies lyrics
- molly moon - окна (windows) lyrics
- r. stevie moore - prayer to a candle lyrics
- iayze - loaded lyrics
- yehu - innocence (intro) lyrics
- riplabandera - el beat de lolo lyrics