azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego - saka hela lyrics

Loading...

shurubidii, team 966 beiby
money makers, touch, touch

umezaliwa mwaka gani, mwaka elfu mbili na tano
mtoto wa juzi unakula ngano
unapenda madem k+mbuka kuna ngono
ukiwa na hamu basi tumia condom (fire)
hey toka kitaani kwa majangiri
we talk about money madem nafasi ya pili (fire)
natema beat ka sio mashairi
najenga ghorofa ndio maana nimekuwa baili

salamu kwa madem walionikataa
tell them i got money, ila sio papaa
naishi ka bob marley ila sili ganja
i am a rude boy new generation i say

na nyi marappers haters hamna hela
hata ukizima beat me napiga acapella
nina hela nyingi j+po naishi kisela
haters am sorry kama nimewakela

hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
washa! washa!
hey hey hey hey
it’s time for the money
hey hey hey hey
muda wa biashara tuwabane
hey hey hey hey
baadaye kwenye bata tukutane

hizi ndo flow matata
saka hela baadaye tukale bata
huna mkwanja noma kufuata fuata
sura pesa bonge la demu matata
nyie mazombie mnashindana na vampire
mko bondi mnaongea petroli mi nina fire
hapa vumbi, utawaka amekanyaga wire
weka kambi, vibaka wana mkaliwaya

slow down, punguza hasira
usiwe na hila
ngoma bila bila
hold on, tuliza mpira
hii ndo time ya hela
ngoma tena sio bila
sister duu, mbona unaniganda
unanitaka?
ushasikia parapanda ingia taka
ni boss kutoka kitanda
asiye na mzaha na masaa
hapa pesa sio tatizo mie najua kuzisaka
“nay umekuwa handsome”
yeah bonge la handsome
madem wakiniona wanapanda wazimu
dadako akinitaka mi sitaki mkata stimu
ila dem wako akinitaka ila namkamulia ndimu (fire)

hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
washa! washa!

hey hey hey hey
its time for the money
hey hey hey hey
muda wa biashara tuwabane
hey hey hey hey
baadaye kwenye bata tukutane

wanapata homa, kila wanapopita mi navuma
wala, sirudi nyuma
wanabisha ila namba wanaisoma
heyoo tulizaliwa free
tunaishi free
wakati wa ma free innovation …(uwii)
na banga na mr t kwenye hii ngoma
tuna hit bila promotion (uwii)
hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
hey hey hey hey
washa! washa!

hey hey hey hey
its time for the money
hey hey hey hey
muda wa biashara tuwabane
hey hey hey hey
baadaye kwenye bata tukutane

okey anayebisha na abishe
wanangu wa kitaa niaje
hee tusake hela
aah mapenzi baadaye
na atakaye kudhulumu kudadadeki pigana naye
its a 966 beiby

let’s make money
its time for the money
boss from the street
bosses right here
t touch whatsup?
hahahaha…
free nation



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...