azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego - sherehe lyrics

Loading...

leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe

jamani pombe pombe
hivi hiletwa na nani hee
yaani tam tam mpaka kisogoni hee
alokunywa pombe moja kwa moja peponi
aende peponi, aende peponi
kwanza nikishalewa inanikata aibu (aibu)
alafu inanipaga vibе (vibe)
hakuna swali linakosa jibu
ule ugonjwa wa kingerеza bhana pombe inatibu
leo kamkesho, kamnyweso
mbona nasweti sana jamani nipe kaleso
kama unanidai naomba tuonane kesho
hela nayotumia leo ni yamarejesho
tukishalewa si walevi tunapendana
hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
tukishalewa si walevi tunapendana
hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe

leo nakunywa mala ya mwisho kesho ninahokoka
tatizo nikilewa huwa naropoka
nakama nasiri zako jua ushaumbuka
nakua mwongo mwongo
pombe inanifirisi
pombe na ibirisi
hapa nakuacha leo ila kesho tunak+mis
nikishalewa nakuaga mzee wa fix
na ahidi hajira wakati sina hata ofisi
hoo leo kulewa leo
leo acha nilewe leo
hoo leo kulewa leo
leo mtanibeba leo
tukishalewa si walevi tunapendana
hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
tukishalewa si walevi tunapendana
hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
leo ni sherehe sherehe
naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
natusheherekee
naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...