nay wa mitego - shikilia lyrics
mara ya kwanza nakuona, nilish+tukaga
kila ugonjwa napona, nikikuonaga
kama kikombe cha kahawa, tunapokezanaga
hata sijali, wakitutukanaga
yaan kina hanifa na farida wape habali
kutwa naona vitext vimeseji ho ho ntaua mtu
natapatapa kama kuku anataka kutaga
nataka kuku sitaki baga
mchezo nikiuno ukikikamataga, wanimaliza
chonde baba nishikeshike shike mapaja
hii ndio michezo ya kusuguaga gaga
kisha twende tukaivunjevunje michaga, mi na wewe
shikilia, shikilia uliposhikilia mama, shikilia
shika shika, shika shika, shika shika, shindilia
shikilia, uliposhikilia mama, shikilia
shika shika, shika shika, shika shika
love is beautiful beautiful beautiful
you drive me crazy
baby you know what to do what to do what to do
i’m going crazy
watasema umeniroga roga umenishika shoulder shoulder
hatupandi gari wala boda, ukichoka nitakubeba beba
ah mungu ni mwema kafanya tumejuana
asante mungu mi nawe tunapendana
shukrani zangu kwa baba yako na mama
na kwa neema za mungu ipo siku tutaoana
love is beautiful beautiful beautiful
you drive me crazy
baby you know what to do what to do what to do
i’m going crazy
natapatapa kama kuku anataka kutaga
nataka kuku sitaki baga
mchezo nikiuno ukikikamataga, wanimaliza
chonde baba nishikeshike shike mapaja
hii ndio michezo ya kusuguaga gaga
kisha twende tukaivunjevunje michaga, mi na wewee
shikilia, shikilia uliposhikilia mama, shikilia
shika shika, shika shika, shika shika, shindilia
shikilia, uliposhikilia mama, shikilia
shika shika, shika shika, shika shika
Random Lyrics
- arrow bwoy - mungu baba lyrics
- les vulves assassines - das kapital lyrics
- tathan - just drive lyrics
- mikele buck band - broken heart lyrics
- sydney jones - believe in yourself lyrics
- tunde x joe blow x lil aj - mob city lyrics
- the residents - the big bubble lyrics
- young xang - nocivo lyrics
- mashmakhan - nature's love song lyrics
- luke morin - dance alone lyrics