nay wa mitego - story lyrics
story yah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah
subra subra ya vuta kheri
true love true love maisha safari
moyo w+ngu tulia usitamani vya watu
eh mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
j+po napitia msoto
bado naamini nitapa kesho
uwende ikawa spesho
nitapata vifuta jasho
nakuipata pepo
duniani ni changamoto
yaaah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah
yaaah
story yah
story ya life yah
namuamini mungu najawa naimani yeh
shetani ashindwe ee
hiki kijipu uchungu mapema nikitumbue
nawapenda ila naogopa ngoma
yoo singida dodoma
napambana ugali usije goma
visenti vya maindi ya kuchoma
kualala njaa nishazoea
bado namini nitatoboa
biashara ni ya kharanga
na naishi nyumba ya kupanga
nakukata tamaa haija tokea
muda ukifika mtanisifia
never never never never
keep fight don’t lose hope
wake up wake up wake up wakе up
don’t be lazy be shape
moyo w+ngu tulia usitamani vya watu
eе mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
j+po napitia msoto
bado naamini nitapa kesho
uwende ikawa spesho
nitapata vifuta jasho
nakuipata pepo
duniani ni changamoto
yaaah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah
yaaah
story yah
story ya life yah
Random Lyrics
- jack hardy - forget-me-not lyrics
- toxoplasma - cdu lyrics
- gauchos de acero - ángel de fuego lyrics
- brian dunne - stand clear of the closing doors lyrics
- iann dior - need you lyrics
- murly zon manganop - kuyogan tika lyrics
- raindear - grown ups lyrics
- punnany massif - nem növök fel ii. lyrics
- k7 - condone lyrics
- hunter hayes - i mean you (live) lyrics