azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego - thank lord lyrics

Loading...

ni kwa neema tu
ni kwa neema tu
ni kwa neema tu
kama moyo ungekuwa na sauti ungesema leo ungesikia
ilimuamini sifa zote na utukufu nazo mpa toka moyoni
ulinipa chakula kipindi na njaa (yeee)
kutuliza moyo usiwe na tama (yeee)
j+po shida matatizo viligangamaa
bado ukanipa nguvu ya kupambana(ahuu)
thanks lord (ahuu)
thanks baba (ahuu)
kwa upendo (ahuu)
kwa mahaba (ahuu)
i believing you (ahuu)
thanks baba (ahuu)
nothing without you god i prayee
nikitoka ananionesha mw+nga (asante baba)
eeeeeeeee (asante baba)
siwezi kitu bila wee (asante baba)
oooooh lord (asante baba)
thanks for protecting my family (thanks lord)
eeeeeeeee (thanks lord)
kafungua njia (thanks lord)
thanks lord
oooh lord
mungu akulaze pema my brother john mjema
ulianza kunione mapema
ukasema nita kuwa noma
kweli mungu mwema
j+po umeondoka mapema
i wish ungekuwepo ulicho tabiri ungekiona
j+po haikuwa rahisi kusikika, kukubalika nimepigana vita
haimanishi kwamba ndo nimefika, sijalizika na sijalewa sifa
nishapigwa kopo kwenye shoo
nishaf+kuzwa studio
wakina hujui kuimba ndo walikuwa wengi johoo
hakuna aliye niamini sio ndugu sio rafiki
hata mpenzi niliye muamini naye alini disappoint(ahuu)
thanks lord (ahuu)
thanks baba (ahuu)
kwa upendo (ahuu)
kwa mahaba(ahuu)
i believing you(ahuu)
thanks baba(ahuu)
nothing without you god i prayee
nikitoka ananionesha mw+nga (asante baba)
eeeeeeeee (asante baba)
siwezi kitu bila wee (asante baba)
oooooh lord (asante baba)
thanks for protecting my family (thanks lord)
eeeeeeeee (thanks lord)
kafungua njia (thanks lord)
thanks lord



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...