
nay wa mitego - zikaa lyrics
zika zika zika zika
hey watagwani
kwani vipi nani anatudai
natesa bongo mpaka kenya was born to shine
tayari hii ni kesi ya kunyonga tai
wapinzani mko wapi niwazike hai
haipendizi piga kazi sio kuongea ongea
unyakyusa mwingi toka moshi mpaka mbeya mbeya
i’m the one man army never compare
hi ni time ya mazishi i dont play fair
baba yaga nipo kwenye ramani
wakati wa vita unataka amani (zika)
na si walitaka shindana nami
shughuli ya wanaume wavulana fulani (zika)
ah eeeh (zika)
waleee eeeh (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
yesaya
bang bang halelluyah
chepeni tushakuzika hapa
he he ushafutika
story itabakia flagi tushazimika utawala uni tu ya
bang bang bang bang
zemneli naliamsha asamaya
mazishi yanafanyika tu no choir
master na wa mitego mo fire
usitingishe meza ya wakubwa ni hasara
ujuzi w+ngu uku juu
kichwani niko full
moyoni niko true sijui tutafanyaje full
i’m a chief rocker microphone doctor
mtakuja mtekwenda ila bado niko hapa (zika)
wale wanao taka kutuficha tuna wa (zika)
kwanza hawana jipya (masia)
sisi ndio mamasta wenye future
mtajua hamjui ila mtaisoma picha (zika)
ah eeeh (zika)
walee eeeh (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
ai ai ai (zika)
Random Lyrics
- דויד ברוזה - srochim - שרוכים - david broza lyrics
- bambi baker - the taste of my own poison lyrics
- tatiana - pequeño el mundo es lyrics
- hot mulligan - gans media retro games lyrics
- ninja raps - pesadelo lyrics
- gb9 - 바람이 불었으면 좋겠어 (i hope it’s breeze) lyrics
- b val - lost on 45 lyrics
- baby ghost (mi) - iont feel shit lyrics
- 3lliot810 - city lights lyrics
- amos the kid - world burn lyrics