nazifuata - komando wa yesu lyrics lyrics
komando wa yesu + n+z+fuata
kommando music
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
aliniambia ameachilia
k+mbe wewe ndo umezuia
akaniambia alitenda kwa wakati
k+mbe wewe ndio mmezuia
k+mbe kule kutanga tanga kulialiya kw+ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai, leo
nataka changu ni ya kiangu kutoka kwa mungu w+ngu, ye
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
ile nyota yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipе
ne afya yangu, unipe
mwenyеwe naitaka, unipe
watoto w+ngu, unipe
nawataka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
k+mbe ulikuwa unanichoma
nasema sasa imekwisha
vyote ulivyo ni pora, eeeh
ni wakati wa kurudisha miviangu, eh
k+mbe kule kutanga tanga kulialiya kw+ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai lewee
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka eeeh
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa baba n+z+taka ee
uko uko ziliko n+z+fuata baraka zangu toka kwa mungu n+z+taka
na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka unipe
oh unipe unipe unipe
unipe
hehehe
unipe
lyrics written, compiled and submitted by;
francis oyet opwonya, a ugandan south sudanese investigative journalist and software engineer
all rights reserved…
Random Lyrics
- put ya hands where my eyez can see freestyle - nando smoove lyrics lyrics
- be kasi nagoo - mehran gol gol lyrics lyrics
- hollyvilnius - urboo & kylok lyrics lyrics
- new gens through - secretasian6 lyrics lyrics
- glass prisons - daniel rizzo lyrics lyrics
- utálom a cigányokat - virkelvido music lyrics lyrics
- hələ də - kəmalə əhmədova lyrics lyrics
- born to die - shreea kaul lyrics lyrics
- na miłość - faza lyrics lyrics
- beavis n' butthead - terry kunage lyrics lyrics