ndovu kuu - ndovu ni kuu lyrics
ndovu ni kuu og
itabidi wanijue ah ah yea yea
basi weka mkono juu ah ah ah
you eyy
vile na bam bam
police wana ubaya
dame wako vile mahanjam
na mi sina ubaya
kosea uniite handsome
huskii izo ni hekaya
felicia na lisa
ivo ndo mi niliwaacquire cheki
tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
sku hizi vile anameza maramoja utagwaya
na ananringia sana flat tummy hana tyre
ako na kila kitu kitu hanaga ni haya
mtoto w+ngu akiitwa ku ntakataa
hakunaga masomo ku nmekataa
unapeleka mtoi first year introduction
baada ya wiki mbili ashajua reproduction
ndovu ni kuu
ahh ah ah
na itabidi wanijue
ahh ah ah
basi weka mkono juu
ahh ah ah
yes you
ahh ah ah
you
ndovu ni kuu
ahh ah ah
na itabidi wanijue
ahh ah ah
basi weka mkono juu
ahh ah ah
yes you
ahh ah ah
Random Lyrics
- jean roche - best of luck lyrics
- aleksshawty - castle on the clouds lyrics
- loganplayz - cruel lyrics
- philippe cohen solal - we'll never say goodby lyrics
- elko - kicked me out lyrics
- youssef futur - spectre lyrics
- wombat - effortless (64 bars) lyrics
- sophie (deu) - irrational lyrics
- likelybarking - re-rout her lyrics
- geraldine baille - caroline lyrics