nduati - aki lyrics
[verse 1]
acha niwape story of how i met this mama
first time k-mwona alikuwa ameinama
“excuse me,” kutupa lugha nishaanza
“kwani kwenu hakuna stool? si aki umesimama”
akaniangalia viweird alafu akagiggle
nikajua hapa i’m no longer single
rusha jokes mbili tatu huyo ashachekacheka
haya, sisi hao kuendelea na hekaheka
conversation ikaflow ka mto aberdare
conversation ikagrow ka mti inamea
lugha nzito ka t-tanic lazma ingesink
wengine wakikula blue ticks me nakula winks
sa ni obvious nishambamba
ju before k-mwitisha ashanipea namba
naelekea nyumbani kila kitu iko fresh
sijarealise ii yote imeleadiwa na the flesh aaaah
[hook]
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
[verse 2]
“sasa? nimek-miss! nahope uko poa”
“eeh! nimelemewa tu na kahoma”
“woiye kuja nikuchunge hadi upone
by the way kuna movie naweza taka tuone”
nasafisha nyumba nadai impress
kiherehere hadi kitchen ati me ni chef
simu ishaingia, “ndio nimefika”
“karibu ata ndio nimemaliza kupika”
so yes ilianza tukiwatch movie ya action
soon, ni movie inatuwatch tukiwa action
mmoja juu mmoja chini utadhani ni fraction
punde nishadeposit ka mpesa transaction
ako na story mob an-z-di tu kucheka
nashindwa kukeep up, guilt imenimeza
nimejiingiza shimo, kutoka nitaweza
hata fb amechange her relationship status
[hook]
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
[verse 3]
at this point, me nataka tu aende
haifai, but anything ndio ii feeling iende
“aah! nafaa kuenda sokoni
hakuna place ulikuwa unaenda jioni?
nimek-mbuka ata mum anakuja
twende hapa nje nikubuyie weave ya abuja?”
nimetry kila kitu hadi nimechoka
kwani mtoto wa mugabe? hataki kutoka
finally akaleft, it left me thinking
sijui hata jina yake ya pili
najua siwezi taka kupata mkidi
or worse still zile maugonjwa ka ukimwi
dhambi kuu ni ati siheshimu ile damu
utamu dakika tatu inipeleke jehanamu
aaarg! yesu w-ngu nafsi yangu tawala
bila wee nitafall short ka inspekta mwala
[hook]
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
aki
aki
aki
aki singefanya ivyo
Random Lyrics
- the payroll union - paris of america lyrics
- gahm - mr. resetti lyrics
- izk - pλperbøy lyrics
- gamma skies - wilder lyrics
- defano holwijn - mans not hot, mans blazing! lyrics
- out cold - sorrow [single version] lyrics
- phiskwa - não ligas lyrics
- kayra kabakoğlu - benim dünyam sensin lyrics
- river whyless - all of my friends lyrics
- red kite - take care of your own lyrics