ndung'u mbithi - mara ya mwisho lyrics
Loading...
[verse 1]
sikujua ilikua mara ya mwisho
kukuona
mara ya mwisho
kuonana
ningejua ningekuk+mbatia zaidi
mara ya mwisho
juzi niipitia ma area
tulizokua tukuienda
pamoja
nalia moyoni kwani
sikujua ilikua
mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
+phone ringing+
[verse 2]
ulienda bila onyo
haukusema hautarudi
ulienda bila kusema ya kwamba
ni mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
+crying+
“the person you have called is not reachable. we will notify you when the mobile subscriber is back. if you wish to leave a voice message then please do so after the tone.”
Random Lyrics
- aklo & norikiyo - 百千万 (hyakusenman) lyrics
- janet jackson - because of love (d&d slow version) lyrics
- vprojekt - the wound fractal lyrics
- proceente - wkurwienie maksymalne lyrics
- poppy - pursuit of happiness lyrics
- red child - elevated lyrics
- l.a.o.s. - i'm alive (blvck crowz remix) lyrics
- noyr - tür lyrics
- mr_rvn - breakdown lyrics
- asylum party - together in the fall lyrics