azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ndung'u mbithi - sitangojea lyrics

Loading...

[intro]

sitangojea
sitangojea
sitangojea
sitangojea

sitangojea
sitangojea
sitangojea
sitangojea
[chorus]

na nimebaki pekee (sitangojea)
nimebaki pekee (sitangojea)
nimebaki pekee yangu yangu (sitangojea)
nitafanya pekee (sitangojea)
nitafanya pekee (sitangojea)
nitafanya pekee yangu yangu (sitangojea)

[verse]

nitafanya pekee yangu
kati ya watu
hawana wakati
niende movie
niende kilabuni
nidansi na watu sijui, sijui

niende msitu nikae na miti
niende hoteli niitishe
nilambe sahani
hawatajali

nitafanya pekee
nitafanya pekee
nitafanya pekee yangu, yangu
[chorus]

nitaenda pekee (sitangojea)
nitaenda pekee (sitangojea)
nitaenda pekee yangu, yangu (sitangojea)

nimebaki pekee (sitangojea)
nimebaki pekee (sitangojea)
nimebaki pekee yangu, yangu (sitangojea)

nitafanya pekee (sitangojea)
nitafanya pekee (sitangojea)
nitafanya pekee yangu, yangu (sitangojea)
nitaenda pekee (sitangojea)
nitaenda pekee (sitangojea)
nitaenda pekee yangu (sitangojea)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...