necessary noize - tension lyrics
[chorus]
situation ziko nyingi
zingine ziko poa na zingine hazishiki
mbona drama tu kwa wingi
kila saa balaa na sijaishi miaka nyingi
nikienda mjini
look like a suspect juu hadi chini
situation ni nyingi
situation ni nyingi
[verse 1: n-z-zi]
matha ameninyima dinga mazee na any sina
superstar kwa mathree na mafans kwa beemer
nimebambwa na karao na chapaa sina
stima hazijabamba nimevuta shada nzima (tension)
hata nimetoka bila sima
ni ka ufike stage alafu speaker zikazima
na uwanja umejaa na mafans nzima
ni kama drought iki-visit wakulima (tension)
ni kama chali yako akinoki your best friend
huna chapaa unataka hanye kila weekend
umeiba gari ya buda tena ni benz
umeigonga na huna ends (tension)
chali mzuri anajidai
ati he can’t be mine coz sina ndai (tension)
nimeshikwa nikidishi ramadhani
tena nimebambwa live kwa sahani (tension)
nimefanya balaa huko nyumbani
na kila nikisema hawataki samahani (tension)
[chorus]
situation ziko nyingi
zingine ziko poa na zingine hazishiki (tension)
mbona drama tu kwa wingi
kila saa balaa na sijaishi miaka nyingi (tension)
nikienda mjini
look like a suspect juu hadi chini (tension)
situation ni nyingi
situation ni nyingi
[verse 2: wyre]
gal she wan fi drink nordic ice
and inna me gl-ss me can’t afford even ice (tension)
me write a letter to a girl
telling her how much i’d love her inna me world
me say it (tension)
seventeen weeks mi uh wait
not a word from her not even a phone call (tension)
she wan be wearing diamond ring
but inna me wallet only got me id (tension)
me go to visit to her house
knock up on her door find her with another spouse (tension)
me find her with her arms around him
physically pleasing at her best to arouse him (tension)
me turn around with mi anger
little did i know that i was gonna meet her father (tension)
oh no what a blunder (tension)
oh no what a blunder (tension)
[chorus]
situation ziko nyingi
zingine ziko poa na zingine hazishiki (tension)
mbona drama tu kwa wingi
kila saa balaa na sijaishi miaka nyingi (tension)
nikienda mjini
look like a suspect juu hadi chini (tension)
situation ni nyingi
situation ni nyingi
[verse 3: jay mo]
ntaandikaje rhymes sina mistari
kila mstari naoandika nauona si mzuri (tension)
ok niko maskani napata majani
nashangaa kuona polisi wanakuja kama ishirini (tension)
nimedata sijui ntafanya nini
na nikikamatwa na bhangi miezi sita nawekwa ndani (tension)
nyumbani wamekuja wageni mi sina pesa
haiwezekani, yaani ata soda watashindwa kunywa
mwenyewe na njaa na sina hela chakula nashindwa kuelewa
ntaeza lala bila kula (tension)
nadaiwa deni sijui ntalilipa vipi na natakiwa nililipe leo
pesa leo ntapata wapi
nimempatia mimba kwa bahati mbaya
nyumbani kwao kaf-kuzwa mamake anadai malaya
kila nikimwambia aitoe hataki
na anasema nikisema sio mimba yangu atanishtaki
mi nitakuwa rosto bye bye
kila siku sina raha lini nitafurahi
baba ana-force twende tukapimwe ukimwi
mi naogopa sijui itakuwaje nikikutwa na ukimwi
[chorus]
situation ziko nyingi
zingine ziko poa na zingine hazishiki (tension)
mbona drama tu kwa wingi
kila saa balaa na sijaishi miaka nyingi (tension)
nikienda mjini
look like a suspect juu hadi chini (tension)
situation ni nyingi
situation ni nyingi
Random Lyrics
- jordan waller - let you down lyrics
- dopage - palabra lyrics
- alae b - ismo - mama (cover by alae b) prod. alae b lyrics
- coldah - нет дела (not affairs) lyrics
- boxing helena - revelations lyrics
- dk - дикость (wildness) lyrics
- travis-atreo - clean lyrics
- кис-кис (kiskisnotdead) - тиндер (tinder) lyrics
- black tide - sex is angry lyrics
- pelle miljoona oy - vapaus on suuri vankila lyrics