
neema gospel choir - sitalia lyrics
hiki kinywa changu
na huu moyo w+ngu
vimejawa na sifa zako
ewe bwana mungu w+ngu
yale umetenda kw+ngu
sio siri, ya moyo w+ngu
bali ni ushuhuda wa wazi
kwa mataifa yote
acha niseme nieleze
niwaambie wajue
ushuhuda wa kweli
wa maisha yangu
acha niseme nieleze
niwaambie wajue
ushuhuda wa kweli
wa maisha yangu
hiki kinywa changu
na huu moyo w+ngu
vimejawa na sifa zako
ewe bwana mungu w+ngu
yale umetenda kw+ngu
sio siri ya moyo w+ngu
bali ni ushuhuda wa wazi
kwa mataifa yote
nikihesabu mambo ni mengi
umenitendea
hisani kubwa bwana
umenisaidia
milimani na mabondeni
ulinisaidia
ahsante bwana
kwa neema ulonipatia
nikihesabu mambo ni mengi
umenitendea
hisani kubwa bwana
umenifanyia
milimani na mabondeni
ulinisaidia
ahsante bwana
kwa neema ulonipatia
acha niseme nieleze
niwaambie wajue
ushuhuda wa kweli
wa maisha yangu
acha niseme nieleze
niwaambie wajue
ushuhuda wa kweli
wa maisha yangu
eeh yeiih eeh
najua
najua
haitabaki kama ilivyo
hali hii ya sasa
hali hii ya sasa
najua
unatengeneza njia
pasipo na njia
pasipo na njia
najua
haitabaki kama ilivyo
hali hii ya sasa
hali hii ya sasa
najua
unatengeneza njia
pasipo na njia
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
halaleya
haleluya
heey iiiih, uuh yeeeh
najua
haitabaki kama ilivyo
hali hii ya sasa
najua
unatengeneza njia
pasipo na njia
pasipo na njia
najua
haitabaki kama ilivyo
hali hii ya sasa
hali hii ya sasa
najua
unatengeneza njia
pasipo na njia
usiku wa leo hutolia kili sema
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia, sitalia
sasa yatosha,
sasa yatosha
nimejazwa nguvu mpya
sitalia, yatosha, yatosha
amenijaza nguvu mpya
sitalia, yatosha, yatosha
amenijaza nguvu mpya
sitalia, yatosha, yatosha
amenijaza nguvu mpya
sitalia aah yeih, yatosha
nimejazwa nguvu mpya
haleluya, we worship you lord
Random Lyrics
- otm - say it aint so lyrics
- raff the player - 24/7 lyrics
- eylem - shake it in istanbul (2010 istanbul ingilizce) lyrics
- deep as ocean - reset / rebuild lyrics
- dawn n3wton - never settle lyrics
- chrysalis (indie folk) - uuu lyrics
- shook (disney) - undone lyrics
- charlie rich - to sing a love song lyrics
- dj vilão ds - automotivo de outra dimensão lyrics
- lotte lenya - denn wie man sich bettet, so liegt man lyrics