neshry trapan - kukutaka lyrics
(chorus + itarno)
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee eyea
(verse 1 + neshry trapan)
light skin, dark skin
me si tambui
vile me i saw you
ilibidi
nimejihami na mwavuli
vile your hot like a heater
manzi ako fiti urembo ilini ita
come baby come
ati overrated baby uko star rated
ten outta ten
mbogi imekubali
si uingie lions den
maybe tutajua kama tutakua more than friends
if i get the ganji, ndege hadi maldives
if i get the paper, ndege to jamaica
nikushow wagwan
ata ukidai tunaeza enda saa hii
no time to wastе
nadai unishow vile we humove waist
najua kuna linе but im first in queue
the love nikonayo is only for you
(verse 1: itarno)
you don’t know how am feeling
na ndio maana nitakuteka hi si siri
came too polite
ukadhani niko chini
i tried to keep it on the low
so you don’t feel me
straight up
feelings
zikazidi
but all in all
am up pushing p
coz we do need it
and deep down nitataka that you fill this
would you fill me
coz we need this
(chorus + itarno)
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee eyea
(verse 2)
ata na hii shembeteng bado ntakulombotove
god sent bana ulitoka from above
white as a dove uko pure
madem kama we wako fewer
me ukini like utakuwa umenicure
macho ka malaika
penzi iko tight tukipendana ni tighter
mimi niko ready kuwa fighter
ingia kwenye mix kama dj lyta
ati uko cuffed ah we wacha zako
me ntakushow vile dunia ni yako
saw you from a far nikajua haitabako
boy wako voke anakupa vako
vibes motomoto unnaskia io joto
girl of my dreams k+mbe haikuwa ndoto
nadai kuwin moyo wako kama lotto
nipe hio chance nikutreat kama toto
(verse 2 + itarno)
toto lotto moto
soko siko no more
walai nafeel nika ni vako
(eei)
au ndoto juu ya coscof
(eei) (aah)
straight up
coughing
ishazidi
(wait wait no)
straight up
cuffing
nishakuzidi
coz deep down
nitataka that you feel this
coz you feel me
coz we need this
(chorus + itarno)
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee
bado nitazidi kukutaka
ile me naomba tusiishi kwa makata
yee eyea
(outro + itarno)
tusiishi
tusiishi yea yea
tusiishi
tusiishi kwa makata
tusiishi
tusiishi yea yea
tusiishi
tusiishi kwa makata
Random Lyrics
- руслан алехно (ruslan alekhno) - лапочка (honey) lyrics
- golden boyz - indiana jones lyrics
- pitch slapped - could've been lyrics
- unlymited - trodding on lyrics
- tzzl - ted mosby lyrics
- el jimmito - +33 7 71 61 57 56 lyrics
- artur kreem - гори, моя звезда (burn my star) lyrics
- punkt (bih) - telefon lyrics
- david shawty - g friend lyrics
- tropico band - ako doživim da te prebolim rmx lyrics