ngoi wa mangai - barua ya ngoi wa mangai kwa angel lyrics
nakupa jina kweli we mzuri
mahaba romiè kweli we kivuli
cheki nakupa sifa kwenye verse nzuri
nmek+micc mamanguuuu
nakuita mamaaaa
kidosho kweli mwanamke mzuri
siwezi sema yaki k sen kiz nnamacho mbili
yapili zko kanda mbili coz nmempenda mwenyewe tu
barua yako mpenzi nimeisoma nmeisoma wamangai nalia
nimbali lakini we ukaituma nami najibu imenifikia
kama hujambo ndio w+ngu uzima lakini mwenzako naumia
wazaz wako yan wamenitema hawataki uwe namimi dear mama
wakaaamua kukupeleka singida tena mbali na w+ngu mkoa
ingekua bora simu kupatikana hata message ngekurushia
basi ngoi wa mangai mimi sina la kusema
tumwombe mungu atupe uzima
emer masia hukutana daima
lakin binadamu husimama mazimaaaaa
chorus
barua yako angel nimeisoma lakini ndani ya moyo
naumia ×2
maneno yako angel yamenichoma
nafikiria nusu kuliaaaaaaaa..×2
mapenzi yetu si ya jana au juzi
kama panapo shida kapanga mungu mwenyezi
sasa vip yawe kwetu mauzi
ndo mana sometimes naona kama upuuzi
ujue ganja nimoja ya kilevi
nasioni sababu ya kulikatisha penzi
kwani!!!!
si unajua nakupenda kishenzi
ndo mana angel kw+ngu ukayaweka makazi
basi. ….natuombe mungu atupe nguvu kazi
wako wazazi waje kuelewa la kusema
kwenye ndoa ni vingi siri ikiwemo ajeeee ashuhudie wetu mzuri
msimamooooooo
chorus
barua yako angel nimeisoma lakini ndani ya moyo
naumia ×2
maneno yako angel yamenichoma
nafikiria nusu kuliaaaaaaaa..×2
…..
kila tunapotembea pamoja kama pair
majina yetu ya mwisho wote yanaishia na wamangair
tunashine uko fine
napenda unavyo design
my valentine
and am so glad you are mine
baby you are mine×3
oooh ah
baby you are mine×3
ooooh ah…
(tune)
(baby you are mine×3)
(baby you are mine×3)
Random Lyrics
- 450 - imperfection lyrics
- mike pont - goodbye yesterday lyrics
- wilbur soot - your new boyfriend (remix) lyrics
- 苏杉杉 (su shanshan) - 杉杉来迟 (shanshan lai chi) lyrics
- annural khalid - faaslay lyrics
- volkan konak - ömür bizi beklemez lyrics
- dtoxify - repeat lyrics
- yakki - plic lyrics
- the hunna - young & faded (unplugged) lyrics
- dawson hollow - dawn (wild eyes) lyrics