ngwair - she got a gwan lyrics
[chorus:]
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
[verse 1: mangwair]
mara ya kwanza mi namuona, east zoo’ dodoma
ghafla nikajihisi kama mtu mwenye homa kutoa salamu tu jibu lake ni noma
sauti yake tu nikajihisi nimepona
ndefu yake shingo, mwendo wa maringo (oh oh)
nilifurahi aliponiambia yuko single
sio siri mtoto huyu ameumbika
na kama akipita’ mbele ya watu k+mi basi nane kati yao lazima watababaika
hata hao wawili wivu tu umewashika
yessir’
mangwair ndio amefika’ na mi naapa kamwe sintomuacha
nina imani atani zalia mapacha’ na hata kama bahati mbaya akiwa tasa
mnajuwa sintoweza k+muacha’ na yote ni sababu tu
she got a gwan
[chorus:]
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
[verse 2: mangwair]
sintosahau mara ya kwanza ameniruhusu, ni mbusu, nitomase zake chuchu (woo!)
naona fahari leo mpenzi uko na mimi, na hii na ahidi milele nitakuthamini
sintojali ashatembea na w+ngapi, kuwa nawe maishani naona bahati
kila unapopita masela unawadatisha, babaisha, wanabaki macho juu juu
wakuonapo ma doo, wana kasirika, kunja ndita
wana benua midomo juu, najuwa yote hiyo ni wivu tu
washakuzushia mambo mengi tu
ila’ wewe ndio ma baby girl mmoja wa pekee
siwezi kuwa na raha bila ya kuwa na we
makosa naomba unisamehe, nataka kuwa na we, milele, oh girl
you got a gwan
[chorus:]
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
[verse 3: dark master]
nioneshe ulichonacho, ma
nioneshe zaidi ya nguo zako ulizovaa
nioneshe zaidi ya ngozi yako ya kung’aa
nioneshe kile ambacho kitanipa raha
(hey hey hey hey)
girl you got a gwan, you’re my number one
nia yangu mi ni kuwa nawe maishani
chochote utachotaka mi nitakupa, weka imani
nami na ahidi kamwe wala sitokuacha njiani
she got a gwan (yes, i know!)
mama get busy, twende kwenye dance floor
unapo kata kiuno matozi wanapagawa, nasikia sauti zao wakisema
(yeah yeah yeah)
na atakaye kushobokea mi ntamtoa duniani, na kwanzia leo ntakuwa na tembea mi na gun (no)
naona milupo mi inaanza kunitamani, basi malizia kinywaji twende zetu nyumbani
(girl)
[chorus:]
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
tukianzia uzuri tu
she got a gwan
tabia, heshima, ndio huyo doo
she got a gwan
mpaka kwa ma sista doo (yes, i know!)
oh yeah
nabaki tu kusema ooh
she got a gwan
hook: mangwair
she got a gwan
girl, you got a gwan
mimi kuwa nawe sio siri naona furaha
you got a gwan
girl, you got a gwan
oh baby wewe ndio my number one
na gwan…
number one…
nah nah one
nah one
(woo!)
[outro:]
she got a gwan
she got a gwan
she got a gwan
she got a gwan
she got a gwan
she got a gwan
Random Lyrics
- las guanábanas - aquí están lyrics
- vampire weekend - campus (original rostam version) lyrics
- daneliya tuleshova - fire lyrics
- viizzi - star wars lyrics
- dieperry - lie & slave complex lyrics
- saliou & bxne - havana lyrics
- peter gabriel - wallflower (new blood version) lyrics
- jeong yu jin & sujin - 여름의 너 (summer days) lyrics
- aj_official2005 - i'm gonna make my mom proud (outro) lyrics
- abörigen - pacto de sangre lyrics