nikki mbishi - paly boy lyrics
intro
yeah yeah
nikki mbishi is the playboy
yoh
verse 1
kama leo nam+call kwa date ya usiku wa kesho
before the night falls tuifanye iwe siku special
usiku ukapita kwa vita zidi ya usingizi
na ndoto zisizokwisha natishwa na jinamizi
masaa yakasogea nikiwaza jinsi ya kutoka
peke yangu ghetto naongea na suti na pair za moka
na+dress nafunga mlango natoka anaingia paka
the place already no silence no one dog was barking
mwana nawasha ndinga saa 7 za pm
nagundua sina akiba nacheki na atm
na+draw za kutosha naliona duka nashuka
naongeza vocha napiga ananijibu “bado nasuka”
namwambia ukimaliza nishtue mi niko njiani
pia wakati nakuja unataka zawadi gani
akasema “yoyote uipendayo njoo nayo mi ntaipokea
usiendeshe gari kwa speed see you baby take care”
siku ikazidi fana kimwana alinidhibiti
nikafanya shopping ya maana ile laana mlimani city
kama twiga au bata figure matata mithiri ya grace
anapiga anakata mbwiga nlidata na baby face
nje hakusadikika they call me wretched this way
wasaa ulipofika malaika aka+display
kissing na hug za nguvu like “hey baby i miss you”
mkasa uko verse ya pili nisikiize nikupe ishu
chorus
sijawahi kupenda na wala sijui mapenzi
na siwezi ku enzi love cause
i’m a playboy
usije ukanipenda ntakuumiza ntakutenda
sipendeki ntakupa tabu cause
i’m a playboy
sijawahi kupenda na wala sijui mapenzi
na siwezi ku enzi love cause
i’m a playboy
usije ukanipenda ntakuumiza ntakutenda
sipendeki ntakupa tabu cause
i’m a playboy
verse 2
on table akavuta kiti akapozi muhudumu akaja
nkaagiza chupa ya barcadi na mbuzi kwa nusu paja
kazi na dawa pombe na nyama
utani na stori anacheka utadhani fetty
na of course she’s pretty shori
mvinyo ukapanda kichwa sista duu akaanza visa
nikahisi nikipotezea ataniona nyoka wa kibisa
mashauzi ananiletea na blauzi mbele imedisa
ikabidi nikakodi uwanja ili nyavu niweze tikisa
mrembo hakuleta utata swadakta akazama ndani
alipovua si ndo nkadata nkapata ladha duniani
shughuli pevu brother kaka nkajihisi niko nje ya sayari
nikampiga chata na memory ndani ya diary
akatoka na staa shobo zikaponza mwili
wakati playboy silali na demu mmoja mara mbili
siku tulipoachana ndo mwisho wa kuongea nae
akipiga nakata nikipokea piga baadae
ikabidi anitimbie maskani lunduno kunilulizia
akaambiwa yuko nyumbani na shemeji ametulia
akajiona hana thamani nguvu zikamuishia
kwasababu nshamtumia kimsingi ameshafulia
akaja kwa dhumuni la kutaka kufumania
nikamtolea mbavuni machozi akaanza kulia
akitaka penzi la muhuni ambae sijatulia
mwenzake akaja ubavuni kimahaba akanik+mbatia
yeah
chorus
usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
ntakugeuza big g cause
i’m a playboy
redio tv ishi abc kuna hiv cause
i’m a playboy
usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
ntakugeuza big g cause
i’m a playboy
redio tv idhi abc kuna hiv cause
i’m a playboy
usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
ntakugeuza big g cause
i’m a playboy
redio tv ishi abc kuna hiv cause
i’m a playboy
usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
ntakugeuza big g cause
i’m a playboy
redio tv ishi abc kuna hiv cause
i’m a playboy
Random Lyrics
- iza - que se vá lyrics
- nationwide rip ridaz - better watch your bacc (fucc slob) lyrics
- sudokku - cu un picior in groapa lyrics
- etta bond - a1 lyrics
- pathos! (bos) - toronto! lyrics
- *67 (us) - ion wna do shyt lyrics
- solipse - flatter me lyrics
- whitekidd - sètaire lyrics
- shulyaba - shine of the moon lyrics
- sloan lyrix - lungz lyrics