azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nikki mbishi - sorry j.k. lyrics

Loading...

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k

[verse 1]
yeah, i’m sorry j.k
nimeona tu niseme, mzuka huu niliupata nikiwa juu ‘kijenge
mikopo hakuna tena, huendi chuo kikuu kizembe (uh+huh)
bungeni w+n+lewa, wanabonga tu king’eng’e
wakitw+nga, wanatamba
wakisanda, wanatubu
simuoni tena jay tangu akutane na sugu
scorpion amegeuka ghost face mwema
aliyeota rais atakufa anaitwa godbless lema
r.c. na wasafi, uswazi ma+defender
hapa kazi tu, mtaani njaa kali sio sinema
ka kuisoma tushaisoma namba
ungegombea awamu ya tatu, ungekuwa bora labda

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 2]
ilianza bibi cheka, wengi walikuita babu cheka
hawakujua kua nyakati zinakuja na kusepa
ulivunga wa kibeza kuwa unapenda sana bata
na kiki ka makonda za wasafi kuwafata
wabongo watak+mbuka kwenye sekta ya michezo
mpaka taifa stars (?) nayo ikaonyesha mauwezo
ukaongeza vigezo, nyenzo, matengenezo
leo samatta ndio kinara na hachezi soka la dezo
tuzungumze magazeti (yeah)
bunge wana+edit
hakuna mikakati bwana, k+mbe wana+act
demokrasia, demo+ghasia za field+force
wengi wanahofia ukweli kuwaambia, unju siogopi
ma+benki yanafilisika, madeni yanamiminika
hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika
(?)
yaani sio fresh, inatisha
bar mwisho saa sita, sikuhizi hatukeshi kabisa

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 3]
kila taarifa ya habari leo (?)
pesa imepotea kimazingara ‘david blaine
waathirika hawaelewi juu ya mipango ya bukoba
tetemeko ‘wasije kula michango ya msoga
tumekosa, si tupe laana correct (uh+huh)
weka kando chama, tuwe wana+connect
hela imefichwa nyuma ya pazia la viwanda
[njoo?], uone tanzania ya vibanda
uone chafu moja na askari mia wakisanda
chocho za panya+road, mixer pwia, lami, ganja
kuna nyakati niliku+diss j.k
now, i’m calling for the peace, d+mn
we miss j.k

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku+miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...