![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
njoki karu - mawio lyrics
Loading...
[verse 1]
fata mwendo wa jua
kunapokucha
kunapokucha
fata mwendo wa jua
kunapokucha
na kutakucha
[chorus]
eeh
[verse 2]
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
[chorus]
mawio
eeh
mawio
eeh
[bridge]
usife moyo baba
k+mekucha, tazama k+mekucha
usife moyo ndugu
k+mekucha, tazama, tazama
usife moyo baba
k+mekucha, tazama k+mekucha
usife moyo ndugu
k+mekucha, tazama, tazama
mawio
Random Lyrics