noel nderitu - jehovah lyrics
my father′s love for me
it goes and goes
my father’s love for me
it overflows
i will always be found
in the arms of my father (in the arms of my father)
nishikilie baba
ninapoogopa
ni wewe tu unanilinda
nishikilie baba
ninapoogopa
ushindi ni wewe jehovah
wewe ni jehovah
nguvu yangu
wewe ni jehovah
mkombozi w+ngu
sitapungukiwa (kiwa kitu)
wewe ni jehovah
wewe ni jehovah (ah)
wewe ni jehovah
tangu niwe mchanga
hadi sasa sijaona ukituacha
sisi wana wako we
ninapotembea
ni njia zako ninategemea
nishikilie baba
ninapoogopa
ni wewe tu unanilinda
nishikilie baba
ninapoogopa
ushindi ni wewe jehovah
wewe ni jehovah
nguvu yangu (eh)
wewe ni jehovah
mkombozi w+ngu
na sitapungukiwa (kiwa kitu)
kwani wewe ni jehovah
wewe ni jehovah (wewe ni)
wewe ni jehovah
nguvu yangu
baba wewe ni jehovah
mkombozi w+ngu
nami sitapungukiwa (kiwa kitu)
bwana wewe ni jehovah
wewe ni jehovah (oh)
wewe ni jehovah
mfalme wa wafalme
hakuna aliye kama we
hakuna aliye kama we
wewe ni jehovah
nguvu yangu
wewe ni jehovah
mkombozi w+ngu
na sitapungukiwa (kiwa kitu)
mfalme wa wafalme wewe
wewe ni jehovah
jehovah
jehovah
Random Lyrics
- hildegard von blingin' - holding out for a hero lyrics
- brush arbor - let's all go down to the river lyrics
- wataru hatano - vivid junction lyrics
- dbn gogo, musa keys & dinho - possible lyrics
- alf the explicit - death to the lyrics
- daysormay - satellite lyrics
- pest (triox4) - type naruto lyrics
- la hoàng phúc - quá khứ tìm lại lyrics
- jeiven - aking bahaghari (ballad mix) lyrics
- tasha - sorry's not enough lyrics