nviiri - niko sawa lyrics
nviiri:
ooh, mmh
ooh
what a waste (instrumentals)
oh lord
the storyteller ay
what a waste
babe tumejiseti, we on the highway
tukafunga breaki, tukaanza bishana
asking,’ who is diana?” vipi mnajuana?’
i swear tumejibetray, baby tumejiseti
’cause love isn’t here right now
i guess we’ll never know(never know)
mahali hii story ingeenda
chorus:
tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida
bien:
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una+miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
(instrumentals)
bien:
bado we husemanga me ni psycho
bado mi hupiganga simu yako
nili+delete+ingi number yako
lakini bado naik+mbuka kwa moyo,yo
and i just can’t explain
thoughts of you and me keep going up and down in my brain
and you were looking for some love didn’t care for the fame
i was looking for a good time, playing the game yeah, ah
and now you’re stuck on my lane
moving in together, baby it was never the same
oh, it’s such a shame, kila saa tunagombana
lini tutaelewana? yeah
chorus:
tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una+miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
(instrumentals)
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una+miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
the end
Random Lyrics
- simaria - nega lyrics
- pitou - a moment alone lyrics
- nitry oficial - flado mudjer ka ta repa lyrics
- mitski - the beginning lyrics
- nanky - cassette lyrics
- kode.59 - t.i.m. lyrics
- nf - warm up (original) [snippet] lyrics
- quest (mw) - intro lyrics
- devin møre - sweet lyrics
- phuture noize - i need you. (outroduction) lyrics