azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nviiri the storyteller - lesotho lyrics

Loading...

nakuahidi nikishika money
hautawahi kosa maziwa asali
na kila siku tutaweka party
najua vile unapenda sherehe vile nina pends sherehe
mtoto kiboko sema kile unaona kwa ndoto nami nitatimiza
nitatimiza yote
dunia ni ndogo
sema kama tusafiri lesotho ama argentina america

tuk+mbuke vile , tulivyo kazana
tuk+mbuke vile, tulivyo ngangana
tuk+mbuke vile,tulivyo pambana
tuk+mbuke vile
kuna messiah

ukiweza piga picha
ukipenda mziki katika
hizi ni siku zitapita
na hizi picha
zitatuk+mbusha
si kilamtu anataka good life
we mwenyewe utajipa good time

mtoto kiboko sema kile unaona kwa ndoto nami nitatimiza
nitatimiza yote
dunia ni ndogo
sema kama tusafiri lesotho ama argentina america



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...