nviiri the storyteller - mae wendi lyrics
[intro]
(mmmh)
(mmh, mmmmh) sol generation
(oooh) nviiri, baby
the storyteller, ayy, ayy (ooh, oooh)
[verse 1]
acha nianze kwa kutoa shukrani kwako
malaika amependa binadamu, mimi
na ni nani angewahi dhani nitakuwa wako
na wewe w+ngu, mimi, iyeh, iyeh
[pre+chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wеndi
[verse 2]
umenigusa roho, umenifanya kamili
haya mapenzi nimеamini (mayo, mayo, mayo)
naomba nisije kuvunja roho
naomba tusije badili tulivyo
tubaki hivyo
[pre+chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
[bridge]
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
Random Lyrics
- sabrina carpenter - black velvet lyrics
- gloomicide - ayat lyrics
- yikesjimmie - notgoodenough lyrics
- ckk - godspeed lyrics
- luísa e os alquimistas - prata amor lyrics
- naipo - duomo lyrics
- momo chahine - labyrinth lyrics
- oklou - galore (dream mix) lyrics
- des o'connor - when you love someone lyrics
- cece winans - jesus you're beautiful (live) lyrics